Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,077
Nakusubiria maana si dakika nyingi hizoNipe dk 20
Nakusubiria maana si dakika nyingi hizoNipe dk 20
Haahaaa....acha utani ujueHapa kama najiona viile nimeandaliwa hizo dress code

Niombee mkuu...mi mkatoliki mwenzako lkn ndo kwanza habari za kanisa sina!Ni kipindi ndani ya kanisa katoliki ambapo watu wanajiandaa kwa sala kuelekea sikukuu ya Noel mwez 12. Hapa Siruhusiwi kufanya sherehe yyte mpka ipite Noel.
NB: Ni imani yangu lakini.

Usihofu Mungu yu mwemaNiombee mkuu...mi mkatoliki mwenzako lkn ndo kwanza habari za kanisa sina!
Niombee jamani![]()
![]()

Poa poa si unaona nimeanza michakatoNakusubiria maana si dakika nyingi hizo
)Usijari nipo hapa kukupa backUp for any InconviniencePoa poa si unaona nimeanza michakato
( nikichambwa tunasaidiana![]()
)
ExcellentUsijari nipo hapa kukupa backUp for any Inconvinience

Kikubwa fanya kazi yako kwa ufanisi uliotukukaExcellent![]()
Sijawahi shindwa haaahaaKikubwa fanya kazi yako kwa ufanisi uliotukuka
Mama huu mpanio si wa nchi hii!!Uliona lile vazi alilovaa Nick Minaj juzi VMA?
Ndo ntaibuka nalo kwenye hii party though utofauti itakuwa colour tu
My Hubby yy nshamuandalia T-shirt black matata na of course black jeans na raba kali full kutokelezea ( si unajua navyopenda black colour?)
Sijajua wewe sasa dress or jeans pal?



Mama huu mpanio si wa nchi hii!!
Unanifanya nikaaangalie haka kagauni kangu kwanza![]()
like ntakupiga mabao kama ya Messi vile?
nitahakikisha natokelezea mpaka hubby aone wivuuu!HongeraaNi kipindi ndani ya kanisa katoliki ambapo watu wanajiandaa kwa sala kuelekea sikukuu ya Noel mwez 12. Hapa Siruhusiwi kufanya sherehe yyte mpka ipite Noel.
NB: Ni imani yangu lakini.
Mimi tenaa mpk muda huu nisingempata nisingeenda kwenye party yenyewe
nasubiria tu pesa ya viwaloo!!Nakukubali mwamba wanguSijawahi shindwa haaahaa
Ila nakukumbusha tu mpaka sasa kwenye Update jina lako halipo![]()
![]()
like ntakupiga mabao kama ya Messi vile?
Yaan hiyo party nimeipania kama harusi yangu vile![]()
nitahakikisha natokelezea mpaka hubby aone wivuuu!