Mamamaaaaa hapo kwenye wavu itakuwa hatari unaweza kuja kutuvua misamaki mikubwa kama sisi vile maana naona kabisa lengo la wavu yako ni kuja kutuvua tu
Hapa tunakutana na RRONDO, Don Clericuzio , Llio 002 akiwa sambamba na Mbassa jr
Yule dada anayekunywa Castle ya kopo nyuma yao ni Simara
Alikataa kupiga picha na akina Mbassa