Sijawahi andaa party jf,
Lkn nilikuwa nasimamia party, harusi, send off ya zaidi ya watu 1000.
Kuanzia mapambo, chakula, vinywaji, usafiri na hata honey moon zao.
Kwa umri wangu mdogo nishapewa uenyekiti wa kamati ya harusi ya watu 800.
Sasa we unaongelea party ya watu 50?
Dada,
Naomba ning'atuke kwenye uzi huu,
Kwa heshima ya walionifata PM.