JF Garden (Bustani ya Jei Efu)........

Kazindukia huko mochuali akasema harudii tena....huko! mtu chake karibu tunaomba uwepo wako kwani tunatambua matamanio ndiyo yalikuingizia matatizoni!
...hahahahahaha. KakaKiiza..baada ya ule mshtuko na kupelekwa ICU dr kaniambia nipumzike kdg..hivyo nimeamua kuchukua mapumziko marefu huku Comoro...
 
Last edited by a moderator:
.. Erickb52..huyu bwana hajavuta cha Arusha kweli,,?
 
Last edited by a moderator:
...hahahahahaha. KakaKiiza..baada ya ule mshtuko na kupelekwa ICU dr kaniambia nipumzike kdg..hivyo nimeamua kuchukua mapumziko marefu huku Comoro...
Ahaaaa....kumbe uko visiwani maana nilikuwa na wasiwasi kama we mzima maana niliogopa maana mshituko ulikuw amkubwa kwako lakini zaidi ya yote pole sana mkuu karibu usiogope bwana mtu chake hata Erickb52 ni rafiki yetu pia hata TANMO
 
Ahaaaa....kumbe uko visiwani maana nilikuwa na wasiwasi kama we mzima maana niliogopa maana mshituko ulikuw amkubwa kwako lakini zaidi ya yote pole sana mkuu karibu usiogope bwana mtu chake hata Erick52 ni rafiki yapia hata TANMO
..hahahaha..mkuu@KakaKiiza...nimeamua kusamehe..sasa hao wote ni Majembe yangu..tunakula bata mwanzo mwisho
 
Ahaaaa....kumbe uko visiwani maana nilikuwa na wasiwasi kama we mzima maana niliogopa maana mshituko ulikuw amkubwa kwako lakini zaidi ya yote pole sana mkuu karibu usiogope bwana mtu chake hata Erick52 ni rafiki yapia hata TANMO

Heri tuendelee kumpa moyo huyu Ndugu yetu.
Angalau atambue kwamba kwenye kile kibuti hayuko peke yake..
 
Arifu umerejea?
Aisee mimi nimeamua kulanduka tu siku hizi...
Kama vipi nikuletee upate stimu?
..aisee tembeza kitu...unacho cha wapi kwa bibi kule au cha wapi..?..tembeza si unajua mwenge hauvuki kijiji
 
..aisee tembeza kitu...unacho cha wapi kwa bibi kule au cha wapi..?..tembeza si unajua mwenge hauvuki kijiji

Hapa nna cha Ngarenanyuki..
Ni product ambayo nimeiotesha, nikaipalilia, nikaivuna, nikaiuza na kisha nikainunua mwenyewe...

Aisee nitafute nikupa mafleva Arifu..
 
TANMO, hii yafaa kuwa thread ya mwaka! Mimi umeniimagine vipi? Mbuzi dume au Kanga?
 
Last edited by a moderator:
TANMO, hii yafaa kuwa thread ya mwaka! Mimi umeniimagine vipi? Mbuzi dume au Kanga?
Arifu kuna wadudu flani hivi wanaitwa Kiroroma, yaani nimekuimajini kama wao aisee:yo:
Sijui kwa kiswahili wanaitwaje, manake kiswahili kwangu ni lugha ya Tatu baada ya lugha ya Baba halafu lugha ya mama...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…