sipo unatisha nimekumiss ile mbayaMistari imesimama, nami sintolala
Majukumu kutuandama, kama msala
Nguli umerindima, kama mnyapala
Wengine kulalama pasipo mshahala
Mistari imesimama nami sintolala
Kimyakimya kama Jaymo, msituni ninatoka
Pasipo msimamo, kwenye mashindano nitatoka
2010 mwaka wa kikomo, mliongamua mmengatuka
Natamani kwanza kilimo, mifuko imetoboka
Wanoko mmekula omo, watanashati mnawika
Mzima bado naishi, Jamvini nimepamisi
Wote nimewamisi naye Sishi, siku yoyote kurudi hata Alhamisi
Xpin, Nguli, Fidel, ZD, Kaizer, Geoff, bht kwa amani muishi, wengine nimewamisi
Nimebanwa na kazi ili niishi, hakika sintoweza kuwadisi
Kijijini ndiko ninakoishi, siku ikiwadia upepo wa bahari nitauhisi
Mistari imesimama, nami sintolala

washkaji zangu naomba tuwekane wazi
hapa tulikuwa tunaflow kwa maana ya kubrainstorm akili zetu
i know kuna maeneo mengi ambayo ''tumepishana'' ki-mitizamo...!ukiangalia hizo verse utagundua kitu fulani.lakini naomba nitoe msimamo wangu kwamba I WAS JUST TYPING,sitegemei bifu (nimegundua kuna kila dalili za bifu).
PEACE AND LOVE PEOPLE!
LOVE YOU ALL
Hapa bado sana vijana.

Battling is the basis for all rap music. The battle is the truest essence of rap and where rap music started. The object of a rap battle is to come up with insulting rap lyrics on the spot (not pre-written or pre-meditated) and rap them towards an opponent. The rapper with the best delivery, lyrics, and crowd response usually wins.
Learn to accept that it's only a vocal battle and there is no chance of you actually losing your life, surviving a rap battle is easier than it seems and happens to both contenders almost always unless a less traditional type of rap is performed, involving physical contact or firearms
hakika Jf ina marijali
Jina lako kiranga labda ni tafsiri mbadalaya ya kifaranga,
fikra zako unazitoa kafara kama mchangani kumwaga karanga,
Sawa tunakiri hapa bado sana wewe toa lako kali
Kulalama ni yetu kawaida na ni wagumu wakutofikili
kurudi nitarudi wallahi tena sintokufasipo unatisha nimekumiss ile mbaya
tutakamatana siku moja ukiwa dar
tupopamoja mpwa tutaonana inshallah
unafanya nini kijijini na hukuaga?
au kimya kimya umeamua kwenda kuoa?
nakupongeza tena sana kwa kuvuka huu mwaka
maisha yanasonga siku moja tutafika
mwisho kazi njema mwombe mungu tasaidia
Jina lako kiranga labda ni tafsiri mbadalaya ya kifaranga,
fikra zako unazitoa kafara kama mchangani kumwaga karanga,
Sawa tunakiri hapa bado sana wewe toa lako kali
Kulalama ni yetu kawaida na ni wagumu wakutofikili
hakika nimekukubali watisha kama gharikakurudi nitarudi wallahi tena sintokufa
majukumu kuzidi ndio kuukimbia ulofa
nakutakia heri zaidi ufanye shughuli ilo na sifa
Kwanza 'takufanza kipigo ka danadana
Mpaka ujibanze uniite "bwana bwana"
Nanza stanza mpaka Mwanza, we bado "Mama na Mwana"
Si saizi yako hii namba pana
Mashairi dhahiri ya kukufunza staili stahili
Yamwagika bila bahili kutoka langu faili saili
Tiririka kama Naili, kukupa lile na hili
Kuzungusha ka- tairi, kabla sijapo ghairi
Kaa chini, na sikiza utabiri tahriri
Lugha inayo tahiri na taahira ku-tahdhiri
Kama imam takdiri, kama vingine injili
Au hata vipingili vya Sangoma Ikwiriri
Nimevuka mito na kudinya wingu
Njoo anga zangu ntakupiga pingu
Na kulipua fataki, taka hutaki
Halafu ndugu zako waokote mabaki
Nitapokurarua kama vijana wa Iraki
Vita nimepita ka Cheetah nikakita
Sintosita kukucharaza ka gita
Kukuponda ka siafu, nikuombee kwa misahafu
Talmud,Torah Bhagavad-Gita
Niku.... aaaahhh
Bado unataka tu?
Nguli hamasa umenitia jamvini nikajisimikaSipo nimekumis ile mbaya mwanangu
nimepm watu kukulizia wakadia unaishi kibangu
Kibangu? sidhani kwani wewe unakula machangu,
nashukuru kunijuza u'mbana na ya dunia machungu,
chanagamoto zako nimezimis hakika ww ni jungu,
waswahili wanasema halikosi ukoko hata yawepo mawingu.
Nguli hamasa umenitia jamvini nikajisimika
Yako mashairi ujasiri yamejitia na kusitirika
Manani kipaji amekutia nawe umekubalika
Kiyana bado sana
Look i'm a chrystal nigga and you a red winer
You just an opening act and i'm the headliner
so homeboy step your game up or get lost