Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Hahahaha!,MTM na nguli
Mie nimezaliwa wakati wa vuli
Siogopi Chalenji kali
Nazikaribisha ili nifike Mbali.
Sio kama beto nalikimbia
Ila majukumu yamenizidia
Asanteni kwa kunifagilia
Naenda music akadem zaid fani kuisomea.
Bye for now.
Tchaoooooooooo!.
Mie nimezaliwa wakati wa vuli
Siogopi Chalenji kali
Nazikaribisha ili nifike Mbali.
Sio kama beto nalikimbia
Ila majukumu yamenizidia
Asanteni kwa kunifagilia
Naenda music akadem zaid fani kuisomea.
Bye for now.
Tchaoooooooooo!.