Awwww....Kusema mistari yangu imekonda ni kama vile unajiponda ..maana yangu inaubora ambao yako haina imedorora...imelala imesinzia hata kibaka hawezi pora.Kwanza wewe ni kilaza na garasha utalamba kwa kukaa home umejitanda kama mtoto wa kitanga...ushamba..unamba cheo nakutunukia.Ulianza na JF darasani kupitia mpaka mwalimu akagundua ukaja hapa unalia ..bimkubwa vipi atatulia huna hata namna ya kumshawishi ticha mpaka akapotezea.Mtoto wa mama nakwita ...au labda mshamba wa kitaa kila saa unangaa badala ya kupambana uwe shujaa...kwa sifa za kijinga umepumbaa eti mi sio wakata chamaa....Khaaa usishangae nashangaa unavyojiona unapaa bila hata ya chapaa maana umezoea kila saa kuomba mkwanja kwa mamaaLizzy, kumbe u dnt know how to do it, and this iz how we do it, mistari yako imekonda, so sina budi kuiponda, samahan kama nakutonesha kidonda, kweny HipHop me ni founder, kwanza hapa jilete, kwenye game nikufunde, uliukirudi kitaa kwenu udunde, Mimi ndo MC mtata matata, ambae cjawahi soma xul ya kata, nikilianzisha huna budi kunifuta, kwanza ww bado mshamba, ni bora urudi za shamba, ukalime karanga...
jibaba imetulia iyooonilikuwa sijaifungua hii
nitarudi bdae kuwapa hi
kwani mida hii nipo hai
1,2 mic cheki,jani sio chai
afro d ndio miss
jf fj jf one mic, one mic.
oyoo ,namwaga nyuki kama rev masa
lazima muwe na hamasa
nipo kwenye kamati ya wamasa
jf fj jf one mic, one mic
nikisema paw,paw paw
ujue mtu ashakula ban
Mwone...mwone anavyongangania micWakati unajua hatudanganyiki...Kwa mistari ya ajabu haki hatununulikiEti usogezewe deki wakati nyumba hujapiga deki..Kisa tu uonekane nawe mwanaume kwa walio nje ya hilo geti..Kijana rudi ndani fasta ukaongee na maza Akupe ruhusa ya kutoka kabla nje ajakulaza..Alafu njoo kwetu nikutoe ulimbukeni...Vipi mtoto wa kiume kiuoni umebana cheni..jibaba imetulia iyoookamanda nakuaminiaaa, majani sio biaaa......... aisee!!tunafumuka midnaitimfukoni tuko tightLizzy ametoa saitameloose kwenye fightmzembe niko hewaniiiinina taito zamaniiiienzi za marijaniiiimi napeta unyamweziniiiiha ah ha ah kulalalalekiiiii!karanga sio kekiimwanangu zungusha dekiimchovu nashika chakiiinabukusha wanafikiiiinaomba makooofi! naombaa noiziiinatambaaa na machizipembeni ni fulu manziiiikama hauna zoeziiiiiisikatize anga iziiii, tutakukwenziiiihapa ni extra saiziiiiinamba tisa kwenye jeziiimzembe sikompromaiziidaka mic jibaba ivuga
klorokwini hii game kamwe huwezi wini, ndo maana Aspirin, kashindwa himili, nakuchana mpaka unamlilia jibaba Nguli, akutoe from janga hili, ukitaka fika level hizi, ni lazma ukaze msuli, vinginevyo ntakuchinjia baharini, kwenye Game we ndo kwanza bado mtoto, so dont play with Pat The mtema moto, kunishinda mm ni ndoto,cheki unatiririka vijotro,this iz just intro, full michano ipo kwa jiko...
Lizzy let give you ukweli, nanijua lazma ubaki bubu, hapa ni thread ya wanaHipHopu, na sio waambaji taarabu, Mtoto wa kiume nakupa tabu, ona huna hamu, unatamani 2mia ndumu, hapa ndumu zimepigwa marufuku, yeah its true ntazidi kung'aa coz nyie wengine tayari mshachakaa, pande hizi ha2taki watu laini, so jiangalie ucje ukapigwa faini, me ndo The Gangsta, ninae shine zaid ya starz, ww kama huna kazi, ni bora ukauze maandazi, sabab hizi ni anga za wakali, tusijenge bifu, kisa nimekufanya ujione na mapungufu, Ntazidi kusimama maradufu kwa kusaka umaarufu....Awwww....Kusema mistari yangu imekonda ni kama vile unajiponda ..maana yangu inaubora ambao yako haina imedorora...imelala imesinzia hata kibaka hawezi pora.Kwanza wewe ni kilaza na garasha utalamba kwa kukaa home umejitanda kama mtoto wa kitanga...ushamba..unamba cheo nakutunukia.Ulianza na JF darasani kupitia mpaka mwalimu akagundua ukaja hapa unalia ..bimkubwa vipi atatulia huna hata namna ya kumshawishi ticha mpaka akapotezea.Mtoto wa mama nakwita ...au labda mshamba wa kitaa kila saa unang'aa badala ya kupambana uwe shujaa...kwa sifa za kijinga umepumbaa eti mi sio wakata chamaa....Khaaa usishangae nashangaa unavyojiona unapaa bila hata ya chapaa maana umezoea kila saa kuomba mkwanja kwa mamaa
Mwone...mwone anavyong‘ang‘ania micWakati unajua hatudanganyiki...Kwa mistari ya ajabu haki hatununulikiEti usogezewe deki wakati nyumba hujapiga deki..Kisa tu uonekane nawe mwanaume kwa walio nje ya hilo geti..Kijana rudi ndani fasta ukaongee na maza Akupe ruhusa ya kutoka kabla nje ajakulaza..Alafu njoo kwetu nikutoe ulimbukeni...Vipi mtoto wa kiume kiuoni umebana cheni..
yo, yeaah ,yo, one two one twojibaba imetulia iyooo
kamanda nakuaminiaaa, majani sio biaaa......... aisee!!
tunafumuka midnaiti
mfukoni tuko tight
Lizzy ametoa sait
ameloose kwenye fight
mzembe niko hewaniiii
nina taito zamaniiii
enzi za marijaniiii
mi napeta unyamweziniiii
ha ah ha ah kulalalalekiiiii!
karanga sio kekii
mwanangu zungusha dekii
mchovu nashika chakiii
nabukusha wanafikiiii
naomba makooofi! naombaa noiziii
natambaaa na machizi
pembeni ni fulu manziiii
kama hauna zoeziiiiii
sikatize anga iziiii, tutakukwenziiii
hapa ni extra saiziiiii
namba tisa kwenye jeziii
mzembe sikompromaizii
daka mic jibaba ivuga
Hhahha we unasaka umaarufu...wengine tunasakwa na umaarufu!!Mtoto wa mama laini alafu wajifanya gangsta...kwa mashairi ya mgogoro unalazimisha usupa staa!Hustler wa ukweli haangaikii kungaa...yuko busy kusaka chapaa hata sura ikichakaa bado jamii haita mkataa.We fani yako usharobaro kazi kusaka mngaro....hata siku huwezi pambana na wana wa mapambano...kwenye mashindano yenye ujazo....hivyo nakupa likizo kama ticha mwanaizo ukatafute mawazo!Lizzy let give you ukweli, nanijua lazma ubaki bubu, hapa ni thread ya wanaHipHopu, na sio waambaji taarabu, Mtoto wa kiume nakupa tabu, ona huna hamu, unatamani 2mia ndumu, hapa ndumu zimepigwa marufuku, yeah its true ntazidi kung'aa coz nyie wengine tayari mshachakaa, pande hizi ha2taki watu laini, so jiangalie ucje ukapigwa faini, me ndo The Gangsta, ninae shine zaid ya starz, ww kama huna kazi, ni bora ukauze maandazi, sabab hizi ni anga za wakali, tusijenge bifu, kisa nimekufanya ujione na mapungufu, Ntazidi kusimama maradufu kwa kusaka umaarufu....
Siwezi beep msela mwenye vocha ya kukopa...wala siwezi ingia sehemu ambayo ntatoka kapa!!Wanidanganya kwa chips kama mi wakuja...hujui hili darasa zaidi ya mtakuja!!Nimechishe niwafiche kwamba mi SI sistaa duu....ulozoea kuwapata kwa kuwapa story za majuu?!Uhh uhh narudia tena hapana....hapa sio saizi yako utaambulia mchanga kiatu ukisoma namba!!Hollaaaaaaaaa...dollaaa ballaa embu niongezee kinanda!unabeep!mimi ndio wa ukweliiiidara ziko kamiliiiunataka kutest zaliii, tinga getto usijaliiilevel yangu niko bill gateachana na wasanii fakeeenjoo mtoto nikulisheee cakeee, utawezaaa? utaimezaaa? niko sita za mchanaaafive star najichanaaamfukoni nimeshonaaa, si unanionaaa? katiza kitaaa nikung'arishefull pamba nikutwisheemtoto nikumechisheeewazembe uwatetemesheee, unabishaaa?utakufa njaa, watakuhadaa! tunaelewa unaishi nyumba haina paa!hehehehehe kamata mic kama unaelewa inashikwaje! adhawaizi toa saiti
mm ndo MC nloizoea M.I.C,ncheki navokuja mwendo kasi, nikuacha ukitoa kamasi, huku mdomo ukiwa wazi, ww student na mm ndo wako ticha.....hahaha! Mbona unajificha, ucnigope japo kuwa mm ninatisha, uwepo wangu kwenye Game nakupa motisha, ni mwendo wa kukesha, kukuonesha kuwa kuna MCs wanaojua komesha, Pat, leo si log out, mpaka ni-make sure nimekupiga knockout, next reply nakuja kitofauti, lakini thats isnt my fault, moyo ndo unaforce, nakuona katoto kenye mkosi, na lazma niwashow mi ndo BIG BOSS.....take da mic, kama unaubav!Pat heheh don lemme flow more!naleta za getto unaleta za kwayaaam sorry to say umefuliaaa, ngazi achiyaaaniko chimbo napasukaaa, machizi wamestukaa, verse zako zinanukaauko zaidi kirusha rohooo! nipo zaidi kifloo, si unanicheck kwenye kiooonyota tano begani, msela niko makiiini, award fulll kabatiniiiheheheeh whats ur name again? never heard it in the gameu gonna loose this battle, and am out of blamecan u handle this, prepare 4 the shameimekutouch? usimaindiii, nikiuwa namaliza bendiiifani yako kilimo cha mahindiii, kama sio nyimbo za kihindiiia.k.a mimi fundiiiii , nikitambaa na hizi saundiiikamata mic! songa twende jibaba
Klorokwini acha kubehave ka Queen, ww ni wa kiume mbna ujiamini?sio siri inaonesha mistari yako, niyakukariri, nakuchana laivu japo kuwa me sio JF's mhariri, unaogopa ban? kweli we huwezi ushindani...hehehe kwenye hii sredi unaruhusiwa kuwachana mods? kama inaruhusiwa tuambizane ili tujilipize! mods msiniban nauliza tu
Siwezi beep msela mwenye vocha ya kukopa...wala siwezi ingia sehemu ambayo ntatoka kapa!!Wanidanganya kwa chips kama mi wakuja...hujui hili darasa zaidi ya mtakuja!!Nimechishe niwafiche kwamba mi SI sistaa duu....ulozoea kuwapata kwa kuwapa story za majuu?!Uhh uhh narudia tena hapana....hapa sio saizi yako utaambulia mchanga kiatu ukisoma namba!!Hollaaaaaaaaa...dollaaa ballaa embu niongezee kinanda!
mm ndo MC nloizoea M.I.C,ncheki navokuja mwendo kasi, nikuacha ukitoa kamasi, huku mdomo ukiwa wazi, ww student na mm ndo wako ticha.....hahaha! Mbona unajificha, ucnigope japo kuwa mm ninatisha, uwepo wangu kwenye Game nakupa motisha, ni mwendo wa kukesha, kukuonesha kuwa kuna MCs wanaojua komesha, Pat, leo si log out, mpaka ni-make sure nimekupiga knockout, next reply nakuja kitofauti, lakini thats isnt my fault, moyo ndo unaforce, nakuona katoto kenye mkosi, na lazma niwashow mi ndo BIG BOSS.....take da mic, kama unaubav!
we dogo, saint ivuga, acha kuvunga, kwenye gem imevunda, na mistari yako ya kuungaunga, utabaki semaga "yeah ya na one two", hujui freestyle jinsi inavyopigwa...yo, yeaah ,yo, one two one twodah, hawa tanesco vipi tenanaona washafanya mamboi wll be bck
Klorokwini acha kubehave ka Queen, ww ni wa kiume mbna ujiamini?sio siri inaonesha mistari yako, niyakukariri, nakuchana laivu japo kuwa me sio JF's mhariri, unaogopa ban? kweli we huwezi ushindani...
Wanachozengea masista du hakika si hadhi yangu....sumaku yao kazini siwezi ifanya yangu!Hahaaha eti you can make me this and you can make me that...wakati huwezi toa hata mapenzi ya dhati!What i see here is a bwoi and not a man enuff....not a man enuff to take me on and play it rough!So go find yourself a toy that you can play around with...and stay away from me cause im a true gunsmith!hehehe umeimprove!of koz nimekuchengua! unajifanya kudenguaaa! baby gal acha kunisumbuaa, nitakufyatuaanimeweka green light, unasua suaamasista duu zali kwangu wanalinyatiaaunaduwaaa unazembeaaawatakuchekaa?lemme rub u with ice, zis love iz not tit for tattake ma words, u wont regretam commando in bed without a cadetgonna giv u sweet, gonna be my petwoooow, cum on gal, bring on the sweatcan we get them wetguaranteed to be hotbetter say it notweweeeeeeeeeee!nafunga chapter, nalong for fiestatutapiga matutatukivuka extra.will u pop? daka mic
umeona jinsi nlivoidaka mic? Nimeidaka kidharau, na nikakudharau kama nyang'au, unaanza tamani kucopy zangu swaggz, haha ma meen u can not, especially watu kama nyie ambao hamna noti, mtabaki kuombaomba magetini, kanisani na misikitini, nakufanya u'spend u r cash kwenye internet, then nakuacha bila credit, walett empty na kwenye game nakuexempt, unabaki whats happenin? Nivumilie jombaa, coz nimekuja kukukomba na kukusomba, 2ngekua kwa futbol people zingexema nakupgia kitu cha samba, ninatisha zaidi ya simba na 20% anakwambia mbuzi hawezi pga marimba, ma men punguza kutema pumba, Mic here it iz buddy!GOES TO KLOROKWINI!we dogo, saint ivuga, acha kuvunga, kwenye gem imevunda, na mistari yako ya kuungaunga, utabaki semaga "yeah ya na one two", hujui freestyle jinsi inavyopigwa...
Wanachozengea masista du hakika si hadhi yangu....sumaku yao kazini siwezi ifanya yangu!Hahaaha eti you can make me this and you can make me that...wakati huwezi toa hata mapenzi ya dhati!What i see here is a bwoi and not a man enuff....not a man enuff to take me on and play it rough!So go find yourself a toy that you can play around with...and stay away from me cause i‘m a true gunsmith!
umeona jinsi nlivoidaka mic? Nimeidaka kidharau, na nikakudharau kama nyang'au, unaanza tamani kucopy zangu swaggz, haha ma meen u can not, especially watu kama nyie ambao hamna noti, mtabaki kuombaomba magetini, kanisani na misikitini, nakufanya u'spend u r cash kwenye internet, then nakuacha bila credit, walett empty na kwenye game nakuexempt, unabaki whats happenin? Nivumilie jombaa, coz nimekuja kukukomba na kukusomba, 2ngekua kwa futbol people zingexema nakupgia kitu cha samba, ninatisha zaidi ya simba na 20% anakwambia mbuzi hawezi pga marimba, ma men punguza kutema pumba, Mic here it iz buddy!GOES TO KLOROKWINI!