The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 122
mchizi umekurupuka anga hizi za mavampire,
wewe mtoto sura nzuri tutakufanya vibaya,
Kimistari tuko fiti zaidi ya katerero na wahaya,
Stick hizi double finga katikati ya makalio,
Umechemsha dogo anga hizi kwako sio,
We tozi infamous, mjepu nakupa nauseauos,
kwa hizi rhymes zenye counscious,
umetry kubaro japo mashairi yako choka kama kiporo,
unauwezo wa kukopa, una mimba ya mdomo ndo maana hutoki hata kwa promo,
huna mtisho wa rymths kiuwezo umezama na mistari yako mama,
nikikuangali unavyovutia, naharakisha nikupate kabla hujaolewa,
nikubali mimi rijali ntakutunza upendeze wakutamani mamentali,
unangaa, nikikushika mkono moyo unashtuka paa, kaa na mi utulie kila time ntakupa mwaaa.
word up.
ooh men, skiza kwanza nikupe mistari ya freestyle,mi mkali,hata bila ya kwenda class,mi nipo flexible, JF na skul naweza handle,if u cant do 2 thngz at a time, its beta ukae kando,coz me ndo kamando,nadhani unshansoma hapo,NTAKUJA BAADae tena!Kijana naweza kusema hueleweki,wenzako wabiga buku wewe hapa umebaki,nimeona thread unachonga ticha kakushitaki,alivyokuta una simu Jf unachati,chezea vingine lakini siyo shule,kama unabisha muulize J' Haule,kwenye chemsha bongo aliweka kipaumbele,Vijana tupige shule tuache kimbele mbele,na misifa misifa isiyokuwa na future,Nitarudi............
You lady, mbona unakua kama kichwa maji,Mimi ninatisha kwa sababisha,Bongo, Mbeya mpaka pande za Arusha, Hao kina Aspirin Teamo wakija, ntawaadabishana nitawakalisha alaf nawahusisha,na huwezi kubisha, coz nakufundisha maisha....Are u there FirstLady?Ngoja waje mabingwa wa ma freestyle Kina Nguli,Teamo,Asprin na wengineo kama hutakimbia Kitaa .
Nikcheck jina "Pat Gucci" obvious we n sharobaro,
namsikitikia wako mama katupa karo,
zingatia xkul acha umero,
jipange leo ule bata 2moro,
kijana ukisanda necta kitaa utavuta ugoro,
ona hi state daily migogoro
si siasa,uchumi ona maendeleo doro,
Rud xkul pga kitabu ondoa na ticha zenu kasoro
kamwe ucwe mtoro, zngatia assignment usiwe na viporo.
si unaona ma csta kitaa wanapigwa ubo* sabab kutafuta mlo.
watsup watsup!
Nikcheck jina "Pat Gucci" obvious we n sharobaro,
namsikitikia wako mama katupa karo,
zingatia xkul acha umero,
jipange leo ule bata 2moro,
kijana ukisanda necta kitaa utavuta ugoro,
ona hi state daily migogoro
si siasa,uchumi ona maendeleo doro,
Rud xkul pga kitabu ondoa na ticha zenu kasoro
kamwe ucwe mtoro, zngatia assignment usiwe na viporo.
si unaona ma csta kitaa wanapigwa ubo* sabab kutafuta mlo.
watsup watsup!
wenye vpaji waga hatujisemagi, kwanza kijana huna hadhi,Ya kum'judge Pat Gucci,m2 wa mapinduzi bila ya kipingamizi,Na kama un2mia mizizi,Hapa nilazima nikubwage chini,Maneno mengi kwa sentensi, Lakini umetoa point sifuri,Dogo ka chini, nikupige pindi...mwanzo nilipoona mistarinikajua we mkalinachek mashabiki na wala hawakujarihip hop mchezo mkali,nini cc wenye vipaji we kaa mbali
Naona mshakua zaidi ya wawili,
but am stand still,
i can see mnavunga, badala ya kuhanya,
me ni one man army,
so kama vp anzeni kujihami,
Dude toka A City,
kufunika Fake MCs, wa Forum ya Jamii,
nadhan bado hamjanisoma, nakuniuliza mnaona noumer,
mm ni first class MC, kazi kwenu kuongeza speed,
ilimfike levo hizi makini,
za kimashairi, Nawacheki mkitoa vina ambavyo havina vina, njo kwa Pat Gucci akupe ufumbuzi wa kina.......
Nita come back tena!
nha! nha! u said nipo shallow, but we upo slow,na kwenye gemu bado una still grow, kiakili bado upo narrow kama kiuno cha mrembo, kijana unaishi bila malengo, njoo kwangu nikupe mafunzo, kimtindo, me nakula bingo, we utabaki hivyohivyohapa unadeal na kichwa next level, mwabaluhi, kwa maudhi, nakuudhi, ME NDO KING, WE NDO Wangu mfuasi njoo tena!Yepi yaaa yepi yeee nadundaKimyakimya magumashi utasandaVerse zako mfu twazivika sandaHazikubali beat plus kinandaDalili author wake gambaKama yale ya kijani twayapondaUko shallow mic teknik kirazaKwa flow goigoi wawazaParanoia kichwani yakukwazaHebu kimya gamba we nyamazaNtarudi
Habari zenu bhana!!, baada ya kula ban skul, naomba mtu yoyote mwenye kipaji cha kuchana mistari tushindane;
aah! wana niita Pat Gucci,
mwanaharakati aliyesimama kama mnara,
ninae saka haki yangu bila ya kuogopa serikali,
hustler wa kitaa mwenye msimamo mkali,
kama kamanda jemedali, kijana mwenye ndoto za kushika uskani wa nchi hii, inayonywa na mafisadi,
me ni mgumu sio ka hao watoto wa mama, au hao watumia poda but me........(TO BE CONTINUED)