Jf forever

neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,843
2,117
Mods chonde chonde msi imuvuzishe hii thread yangu kutoka humu MMU coz naamini kabisa hili ni jukwaa sahihi kwa post yangu lol.

Ni kuhusu mahusiano yangu na JF, yani JF idumu milele coz hii ni kila kitu kwangu aisee. Nikinuna nakuja chekea huku, stress naondolea humu, habari n udakuzi napatia humu humu, to be honest napata na najifunza mengi from JF.... n to be more specific Jukwaa la mahusiano is the best to me. Love u all.
 
Cartura nyie si mlileta pose? ilinibidi ni eject the whole project.

Sikupata mteja hata mmoja wote wakadhani sababu ni fools day! lol

how sad! it was such a splendid idea labda kwa vile tu ili-coincide na hiyo siku mbaya... ukipata nafasi ifufue bana..
 
Wasn't it AshaDii?

how sad! it was such a splendid idea labda kwa vile tu ili-coincide na hiyo siku mbaya... ukipata nafasi ifufue bana..

Naomba niseme kweli kua ilikua ni Uongo.... One of the matters ni kua sipo Dar. However ile thread imenifanya niwish ningekua Dar so that niandae kitu kama hicho tukishirikiana na members wengine. God willing iko siku tutafanya hivo and it will be one hell of a party.... I think itatakiwa iwe one of those things ambazo members waja kuspend the weekend pamoja in some kabin huko ambayo with good management na organisation kila kitu kinapangwa to the dot. Toka usafiri, malazi, makulaji na vinywaji.... Plus some kind of activities ya kuwa bind membes kua close. Sio lazima with JF IDs disclosed, kiasi kwamba mimi na Cartura if we share a dance kamwe huwezi jua it was Cartura who nilicheza nae muziki fulani....lol
 
AD unapenda essay kama nini..
 
Hakyanani this is tort! If it could be possible, ninge institute a civil case kabisa! Btw, habari yako binafsi??
 
Mods chonde chonde msi imuvuzishe hii thread yangu kutoka humu MMU coz naamini kabisa hili ni jukwaa sahihi kwa post yangu lol.

Ni kuhusu mahusiano yangu na JF, yani JF idumu milele coz hii ni kila kitu kwangu aisee. Nikinuna nakuja chekea huku, stress naondolea humu, habari n udakuzi napatia humu humu, to be honest napata na najifunza mengi from JF.... n to be more specific Jukwaa la mahusiano is the best to me. Love u all.

Love you too...
 
Hakyanani this is tort! If it could be possible, ninge institute a civil case kabisa! Btw, habari yako binafsi??

Kipipi I am well and good dear.... wewe mzima? And a tort indeed it may seem....lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom