The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Jamani Washawasha mie naomba nicheze kwenye romantic scene halafu ndio niwe sterling wa filamu tafwadhali bila kusahau picha yangu ndio iwe kwenye film cover aisee
hilo halipo tumezoea camera man tu.Nashukuru kwa kuona uwepo wangu kaka
ila mm naomba nipewe nafasi ya kuwa Camera woman
Slave I mith youhilo halipo tumezoea camera man tu.
najua mtu wa taa na yule wa nyuma ya camera ndio huwa wanafaidi movieKwa mara ya kwanza kabisa nchini Tanzania Jamii Forums Home Intertainment itakuletea filamu kabambe kabisa inayohusu,siasa,uesharati,umbea,uchawi,biashara haramu,usafishaji wa fedha,vichekesho kwa chati bila kusahau yale yanayofanya dunia izunguke nina maanisha Mapenzi.Kama hujui kuigiza tutakufunza.
Casting:itaanza tarehe 20/11/2013 na kuishia tarehe 23/11/2013.
Muda:kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 6 usiku.
Eneo:Bahari Beach Hotel.
Majaji: FaizaFoxy Mr Rocky Mamndenyi farkhina na Excellent.
Washiriki wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18-99
Tumia fursa hii kwa kunitumia Cv yako pamoja na picha mbili moja ya passport saizi nyengine ya mwili mzima kwenye inbox yangu.
Nafasi za kazi ziko wazi:
1.Producer
2.Director
3.Graphic dizaina
Jina la filamu:Nitaishije Bila ya Wewe?
Mtunzi : Washawasha
Camera man: Jerrymsigwa
Camera woman: ladyfurahia
Editor: mwekundu
Make up: Kongosho,msaaidizi: kabanga
Costume designer: double R
Mpishi: The secretary
Anayependa picha yake itumike kwenye cover la filamu hii basi atutumie.
Wafuatao wanatakiwa watume CV zao ili wapate nafasi za upendeleo: figganigga BAK ndetichia Baba V Katavi The Boss Bujibuji Asprin Kigogo klorokwini Kaizer KakaKiiza Adharusi muuza ubuyu watu8 King'asti Preta Paloma Lady doctor Madame B madame X double R BADILI TABIA AshaDii mimi49 DEMBA Nyamayao miss wa kinyaru KOKUTONA Jawilat Chocs ladyfurahia Valenti8 Avatar Avemaria Zinduna Mwali,
Nalog off
jamani mtumishi mwenzangu Heaven on earth embu tuombe japo scene 2 nasi tuuze sura katika hii sinema.Slave I mith you
Washawasha nadhani atatusikia na kutufikia...........nitafurahi sana uje hasa tukipewa zile scene fulani zilejamani mtumishi mwenzangu Heaven on earth embu tuombe japo scene 2 nasi tuuze sura katika hii sinema.
Alafu zile hot scenes tunafanya za kweli kweli sio kuchakachua lol.....
Mamndenyichama ndo kusema
ni wake wenza, mie huwaga nina wivu ujue lakini!!!!
sawa kabisa ila tukiambiwa na director ''action'' sitaki watuambie tena ''pause''Washawasha nadhani atatusikia na kutufikia...........nitafurahi sana uje hasa tukipewa zile scene fulani zile
lipo wewe hujaonaga :shocked: :shocked: ngoja nikuoneshe uone View attachment 118178
maana wewe unaishi nyanitumbo ambako hata gari kuona ni kazi kwelikweli pole
Vitatengenezwa visheti kama larva,au zinapikwa tambi tunakunja zifanane na larva....full moviehii movie sijui kamA wataiweza hawa washiriki. embu tazameni video hii ndiyo mjue mnachokwenda kukifanya huko location.
Washawasha mbona mnanichanganya hivi huyu Exllent ninaemfahamu mimi kumbe ana mke?! kama ndo hivyo bora umtoe upande wa majaji hastahili, maana hatakawia kuomba rushwa ya ngo..o, huyu dogo hajatulia aisee.sio kwa mbali ni kwa karibu mnooo,maana mchezo huu hajauanza yeye hata Nabii Musa (AS) alipoulizwa utamchagua nani awe msaidizi wako? hakuumauma maneno alijibu moja kwa moja naomba NDUGU yangu Haruuni (AS) ndio awe msaidizi,kwahiyo lazima upendelewe tu na mumeo Excellent.
Nalog off
mie nadhani hii video nimeweka ndio ingekuwa kipimo kwa actress na actors. kwanza wakiweza kumtafuna huyo kiwavi ndo apate nafasiVitatengenezwa visheti kama larva,au zinapikwa tambi tunakunja zifanane na larva....full movie
kipendele cha umbea tafadhali mimi..... Kongosho na charminglady......tushakiwahi.........na bila kumsahau Zinduna...........
Kumbe kuna lindo...nalo nina wasi wasi nalo!!ruhusa ya nini wakati sisi tutalulinda...?
Ok...nae pia anaruhusiwa kuwa lokesheni?Atakuruhusu tu wala usihofu kwa kuwa lokesheni tutakayoichagua itakuwa ni moto wa kuotea mbali.
Nalog off