JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Sijui kama mnanisoma....!

Vyombo vya Usalama kwa sasa ni Dhaifu
Rais wa sasa ni Dhaifu
Bunge Dhaifu kabisa!
Watanzania ni Dhaifu.

Nchi kama haina Amiri Jeshi Mkuu.


d654f77e.jpeg

e65bc2b4.jpeg

ec72b56a.jpeg

ed3ab8c2.jpeg

loliondo1.jpeg


waarab-loliondo12.jpg

waarab-loliondo14.jpg

waarab-loliondo27.jpg


waarab-loliondo3.jpg

waarab-loliondo20.jpg


waarab-loliondo2.jpg


waarab-loliondo5.jpg
 
Acha wafaidi maana WAKO KWAO.

Inabidi hii kitu kuipeleka tena CNN, BBC na German ili wakoromewe tena maana hizi mbuga ziko chini ya UNICEF.
 
:confused:

Hawa mabwana kilichobaki ni kuwafanyia huko huko polini.

Kama Serikali imeamua kuwakumbatia basi ,
nionacho mimi ni kujichukulia sheria mkononi ,

Liwalo na liwe kama wale wanakijiji walivyoweza kuvyeka miche ya migomba ya mbunge wao na hili la kuwa fyeka hawa nguruwe poli linaweza kufanyika.
 
:confused:

Hawa mabwana kilichobaki ni kuwafanyia huko huko polini.

Kama Serikali imeamua kuwakumbatia basi ,
nionacho mimi ni kujichukulia sheria mkononi ,

Liwalo na liwe kama wale wanakijiji walivyoweza kuvyeka miche ya migomba ya mbunge wao na hili la kuwa fyeka hawa nguruwe poli linaweza kufanyika.

unasema wafanyiwe kwani wamefanya kosa gani ?usiwe na chuki zako za kibinafsi hao watu wameruhusiwa na viongozi wa nchi na wapo hapo kihalali sasa tatizo liko wapi ?kama ingekuwa mzungu ukesema hayo kama una tatizo lolote nenda mahakamani kama inavyosema serekali .
 
Mimi namuunga mkono kwa ndugu aliojibu kama hao waarabu hawakuingia kwa wizi bali kwa kibali maalum toka serekalini.Sioni sababu ya kukereketwa na kuwepo kwao nchini,isitoshe unajua kama fedha ngapi ya geni imeingia nchini?
 
Hivi wakishamaliza wanyama nini kitafuata.Waarabu wameifanya Tanzania kama shamaba la bibi !!!!!!!!!.
 
Tafakari kwanza!!! Kama wamepata kibali halali ni lazima kutakuwa na kiwango walichowekewa cha kuuwa wanyama. Kwa maana nyingine watafuata masharti waliyowekewa!!

Haki elimu!!
 
nilikuwa sijaona hiyo mashine ni Lexus V8 convertible!! The wonders of TZ, V8 convertible in the savannah.....na wanakijiji hawana maji
 
wewe tongue blister, una roho chafu, hao jamaa hawako hapo bure, serekali imepokea mamilioni ya dola na inaendelea kupokea kutoka kwao, umekosa hekima na elimu, kama una njaa, source ya matatizo yako ni viongozi wasanii ulowapigia kura alfajiri
 
:confused:

Hawa mabwana kilichobaki ni kuwafanyia huko huko polini.

Kama Serikali imeamua kuwakumbatia basi ,
nionacho mimi ni kujichukulia sheria mkononi ,

Liwalo na liwe kama wale wanakijiji walivyoweza kuvyeka miche ya migomba ya mbunge wao na hili la kuwa fyeka hawa nguruwe poli linaweza kufanyika.

Yaweza kuwa kazi kidongo!! Kama wanakula hata mwewe na tai hao sio watu wa kawaida! Labda uombe msaada Marekani!!
 
kwani viongozi wa kizazi hiki wana tofauti gani na akina sultan mangungo wa msovero? Hebu nijuzeni wadau.

ndio maana wizara ya elimu inaruhusu watoto wasome nyambari nyangwine badala ya vitabu vya maana vya historia . Lengo ni kuficha kitu gani kilitokea zamani ili wasifananishe na sasa.
 
Hawa nao wamewekeza nini? Maana wanachovuna hawajakileta wao wala hawajaongeza lolote kwenye kilichopo. Labda wameajiri manamba wa kuwasaidia na kuwafulia nguo
 
Huyu bwana huwa akija anakuja bila mke bali huja na malaya wa thailand,mkewe huja peke yake hajapata ongozana na mume wake,kwanza huyo mwarabu hupendelea kula aina fulani ya ndege ambao huwatega kwa kuwafunika na wavu kachimba kama bwawa ambapo ndege hao huja.

Na pia huko porini kuna magari ya kifahari ambayo kwa TZ hakuna aliyenalo,mwanzoni mpambe wake alikuwa Doo langu akiwa maliasili yeye ndie alichonga mchongo kwa mzee Ruksa ili mwarabu ajinafasi baadaye Doolangu akapigwa chini sasa kinara wake hapa ambaye kwa habari za uhakika ndie pekee ambaye humpokea na kufanya mambo yote ni mheshimiwa sana msomali mwenye ushawishi mkubwa hapa nchini akitokea Arusha aliwahitishiwa nyau kuwa yeye sio raia wa TZ alipotaka kugombea uongozi mkoani Arusha na juzi tu moja wa kampuni anazomiliki ilishikwa na mzigo usioruhusiwa kusafirishwa nchi za nje bila kibali maalumu na huyu ni mtu mkubwa kwenye Chama chao,kwa hakika viongozi wa nambari wani ndio wanatuingiza mkenge huku familia zao zikinemeka na sijui hawa raia wenzetu wa kufikia wanatuona mabwege kwani tunawapa mianya na wanatu nanii...
 
Huyu bwana huwa akija anakuja bila mke bali huja na malaya wa thailand,mkewe huja peke yake hajapata ongozana na mume wake,kwanza huyo mwarabu hupendelea kula aina fulani ya ndege ambao huwatega kwa kuwafunika na wavu kachimba kama bwawa ambapo ndege hao huja. Na pia huko porini kuna magari ya kifahari ambayo kwa TZ hakuna aliyenalo,mwanzoni mpambe wake alikuwa Doo langu akiwa maliasili yeye ndie alichonga mchongo kwa mzee Ruksa ili mwarabu ajinafasi baadaye Doolangu akapigwa chini sasa kinara wake hapa ambaye kwa habari za uhakika ndie pekee ambaye humpokea na kufanya mambo yote ni mheshimiwa sana msomali mwenye ushawishi mkubwa hapa nchini akitokea Arusha aliwahitishiwa nyau kuwa yeye sio raia wa TZ alipotaka kugombea uongozi mkoani Arusha na juzi tu moja wa kampuni anazomiliki ilishikwa na mzigo usioruhusiwa kusafirishwa nchi za nje bila kibali maalumu na huyu ni mtu mkubwa kwenye Chama chao,kwa hakika viongozi wa nambari wani ndio wanatuingiza mkenge huku familia zao zikinemeka na sijui hawa raia wenzetu wa kufikia wanatuona mabwege kwani tunawapa mianya na wanatu nanii...
who the hell is this guy; DOOLANGU
 
Chuki,wivu ,umasikini ,roho chafu,kijicho ndiyo matatizo yetu makubwa.Bila kuondokana nayo maisha yote tutakuwa watu wamwisho katika ulimwengu huu.

Kwa nini tuko hivi? Kama mtu kaacha home mke wake,wewe inakuhusu nini? Kama kaja na mwanamke wa Thailand inakuuma nini?

Familia zao zinaneemeka kwa mafuta yao,sasa wakiwekeza ili wastarehe wewe roho inakuuma kwa nini?Kwa hali hii hatuwezi kuendelea kamwe.
 
Back
Top Bottom