We mangi,hivi kwa akili yako,kiongozi wa nchi atakuja na kukaa porini bila ulinzi? Nenda tu huko kama warabu hawajakupa dozi. Tena ndio utakua sherehe huko.U know what!the govt is too weak to handle these guys.Bora tuunde vikundi vya wanavjiji ili tuwafanyie ambush na kuwawinda mpaka kuwaua kama wanavyofanya kwa wanyama wetu.
Mbona hawa jamaa hawajavaa vilemba, leta picha ya hao jamaa wa Dubai wakiangusha tembo au simba. Hilo ndio swali langu
Acheni wivu nyie wapuuzi, matusi kibao bila mpango, hao wameingia kihalali na wamewinda kihalali, nyie mnakwenda Dubai kununua vikopo vyenu wao wanakuja TZ kula nyama pori hivyo ndio Dunia inavyokwenda. Sio lazima kila anaekuja TZ awekeze.
Leteni picha ya jamaa ameua Tembo au Twiga ndio tujadili lasivyo hakuna mada hapa. Mimi naona hiyo Lexus ndio imewatoa roho, si unajua tena wabongo tukiona mtu mwenye kizuri lazima tumyee.
Who verifies the animals killed?, the number and sex?, hapo kwenye bold, hilo ndio la muhimu. huko serengeti ukiua hata mnyama aliekukuta nyumbani kwako ni illegal, iweje hao waarabu? kwa kifupi wananchi hawafaidiki nao so, bora waondoke waache wanyama wale wanyama wenzao
I thought u would do that.... inaitwa kuhamisha magoli... kauli yako ilisema hivi:
sasa utaona kuwa ulichotaka kuonesha ni kuwa wanaokuja kuua na kuchukua wanyama hawagusi simba na tembo na twiga! Lakini nilitarajia ungehamisha goli kwani hata kama tungeweka wengine wenye vilemba ungesema "mbona siyo hao walioko kwenye picha" na hata kama tungeleta hao walioko kwenye picha labda ungekuja na kuuliza "kama wanyama wanawashambulia kwanini wasiwaue".. so kwako wewe hakuna mjadala wa hili utaokubali au hata kukaa kujadili kama ulivyosema bali utajaribu kutafuta maelezo ya kuelezea kwanini tukubali uharamia huu wa wanyama wetu.
So.. hakuna mjadala hapa na wewe.
Kweli kuna hili kundi linaloitwa ccm ni kama wahaini wakubwa duniani. Umefikia hatua kama hii sasa? Hata waarabu na wanapiga picha na magari license plates zipo ila kikwete na serikali wanafanya kama vile hawapo ... wanasubiri mpaka ofisi ya raisi itoe decisions, fool of ....
Mimi nilishaamini tangu zamani kwamba kikwete na hawa wahuni wanajifanya walichaguliwa na hizo pesa za waarabu na wahuni mafisadi wenzano sio watu wa kuwakubali kabisa. Sasa tuseme nini baada ya wizi deals na evidence nyingi zipo open. Tuanzie wapi kuwapiga bakora? Hawa wanaomlinda kilkwete na makundi yao ni watu wa namna gani? Sijui kama kuna evidences zingine mpaka serikali ielezwe lolote ... waondoke serikalini mwetu na kwa kifupi ni hivi hayo maofisi dar na dodoma yamebaki ni majengo matupu hakuna wafanyakazi wowote wale serikali.
Chadema hizi ndizo issues sisi na wananchi tumekuwa tunataka zianikwe mbele ya taifa. Hatuitaji kuomba vibali kwa hawa wahuni kuandamana au kudai hii serikali ijiuzuru na kuondoka kabisa. Tufanyeni mikakati kama tunavyofanya na this time tuhakikishe kuna impact kubwa na mabadiliko ya kweli. Tunaposubiri na kusikiliza kikwete au mawaziri wa utalii au nishati na madini tunafanya hivi kwa idhini ya nani? Hakuna sheria Tanzania na wananchi tunajua wazi hili taifa lina endeshwa kwa utamaduni wa watanzania na huu ndio ume-to cost mpaka leo hii. Hakuna katiba wala justice Tanzania na anaye repudiate this aje kwenye JF na atueleze hili.
serikali ya kikwete ni uhuni na ujambazi
Wanapodai kuna idara za upelelezi, usalama, mahakama au wanasheria Tanzania ni nani hao? Wanapotaja majina ya mawaziri na viongozi wa ccm ni nani hao kama sio wahuni wa mitaani?
Mara Ya PiliNahisi nchi inauzwa
Hii kali kichizi
Ni Balaaeeh!HAYA JAMANI.....!
Baada Ya Jiwe kuondoka,Mambo kama haya yasitokee tena ndugu zangu.