JF Exclusive: The Buzwagi Contract

Hahaha, mwenyewe nilipoisikiliza hii kitu niliipenda sana. Kama twist hivi... Ni ya dakika 24 tu lakini 'Bab Kubwa'.

Only few hours left before it gets dead!

Shukrani Inv,
Hebu ongeza vijisaa vichache mkuu kwangu songi hili lilikuwa linagoma kucheza kwenye Window Media Player
 
Shukrani Admn,
Hebu ongeza vijisaa vichache mkuu kwangu songi hili lilikuwa linagoma kucheza kwenye Window Media Player

Usijali mkuu; naamini ukijaribu tena na tena utafanikiwa. Just the matter of codex.

Invisible
 
Ahsante sana Inv,
Sasa nakula songi hili limemixiwa na mikito ya Kibrazili(samba) na vinanda vya Mika mwamba kwa mbaali!.Naburudika sasa.

Inabidi nitafute Mvinyo wa kulisindikizia.
 
Spika zimechoka lakini muziki unaotaka humo huwezi amini. Asante dj kwa kugandika spika na gundi
 
huh babu usitoe kwanza ndio kwanza niko 69/% ubarikiwe
 
hehehe kwikwi kwikwi kaazi kweli kweli....ha ha ha dah mzee poa nishapakua kitu sasa ondoa shukran sana kwa hili songi
 
tayari nashukuru yani naburudika hapa na madam wangu wee acha tu na ramadhani hii swaumu ishakimbia nakuambia he he he dah!!
 
Haya mkuu nimeupata,
Lakini midundo hii ya Bongo fool ever sijui imechanganywa na samba au rock-n-roll? maana jinsi ninavyoucheza huu 'muziki mnene' ndivyo miguu yangu inavyolegea,naweza kupoteza fahamu kwa muda.Mkiona kimya mjue hali hiyo imenikumba.
 
maana jinsi ninavyoucheza huu 'muziki mnene' ndivyo miguu yangu inavyolegea,naweza kupoteza fahamu kwa muda.Mkiona kimya mjue hali hiyo imenikumba.

Pole sana, twist hilo lilikuwa linahitaji uwe na miguu imara na yenye uwezo wa kuhimili vishindo.

It's no longer existing. Thanks kwa wote mlioshiriki mjadala huu na naomba ufungwe rasmi turejee kwenye issues nyingine.

Invisible
 
The 100 per cent owned Buzwagi project is expected to produce 250,000 ounces of production annually at total cash costs(1) of $280 per ounce over a currently estimated 10 year mine life. Buzwagi has 2.64 million ounces of gold reserves and a further 0.41 million ounces of resources(2).

Leo hii bei ya ounce 1 ya dhahabu wakati wa kufunga New York Stock Exchange ilikuwa $728.40 bei ambayo ni mara 2.6 ya bei iliyoonyeshwa hapo juu ya $280. Wakati shreholders wa Barrick wanafaidika na ongezeko la bei ya dhahabu katika soko la dunia, Watanzania hatuambulii chochote kutokana na ongezeko hilo.

Kwa bei ya leo $728.40*2,640,000 ounce=$19,229,760,000 hii ndio thamani ya mgodi wa Buzwagi, tunachoambulia wadanganyika katika mkataba huu ni kidogo sana ukilinganisha na thamani ya mgodi huo. Huu mkataba ni lazima ufutwe.
 
Natoa pongezi kwa kuwezesha mkataba kuwa online. Ni kitu ambacho tulikuwa tunatamani.

Hata hivyo link ya mkataba haipo kule ulikotuelekeza, kuna maelezo haya "Buzwagi​_Agreement​.pdfSize: 7.1 MB
Description: Buzwagi Contract

Your download link is below."
lakini link hiyo haijawekwa. tuwekeeni tafadhali
 
zifanyike jitihada zitumwe katika address zote za yahoo na hotmail zilizopo tanzania kama inawezakena
 
mkataba upo, fata maelezo ya heading ya kwanza, uta download mkataba wako kama kawaida
 
Buzwagi contract finds its way onto Internet

-Chat room members refer to it as the ’Tanzanian song’

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

http://www.thisday.co.tz/News/2838.html
 

...... What?!?

🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…