Nimetumia maneno mawili yaani ukwepaji na uepaji; kwa lugha ya Elizabeth ni Tax Evasion na Tax Avoidance. Nafahamu wameongelea tax avoidance ambayo unatumia loopholes za sheria za kodi kufanya tax planing na hivyo kuepa kodi (tax avoidance) which is legal. Lakini nikuambie tu kwamba uepaji (avoidance) na ukwepaji (evasion) hawa ni ndugu wa baba mmoja japokuwa one is legal and the other is illegal (criminal act). Illicit financial flows toka nchi zetu hizi inafanyika kwa msaada wa hayo ma audit firms!
Unaanzaje kubana mianya huku unakunywa chai pamoja.Duh!!!
Muda umefika wa kubana hiyo mianja..
Nimetumia maneno mawili yaani ukwepaji na uepaji; kwa lugha ya Elizabeth ni Tax Evasion na Tax Avoidance. Nafahamu wameongelea tax avoidance ambayo unatumia loopholes za sheria za kodi kufanya tax planing na hivyo kuepa kodi (tax avoidance) which is legal. Lakini nikuambie tu kwamba uepaji (avoidance) na ukwepaji (evasion) hawa ni ndugu wa baba mmoja japokuwa one is legal and the other is illegal (criminal act). Illicit financial flows toka nchi zetu hizi inafanyika kwa msaada wa hayo ma audit firms!
Uzi huu sijamuona Buku7 hata mmoja akichangia au sijui ngeli inayotumika humu....
Ova
Among those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.Where are their names? Name them please! And am sure 99% are from their beloved Chama Cha Makinikia
Kumbe ta achokisoma huelewi!Amekuwa mbogo sababu ya Aziz!
Unaonesha ulichokielewa hapo ni majina tu, ni dhàhiri hata huelewi kwanini hayo majina yametajwa.Among those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.
labda shule alienda kusomea ujinga.Unaonesha ulichokielewa hapo ni majina tu, ni dhàhiri hata huelewi kwanini hayo majina yametajwa.
Ndio kitu mlichobakia nacho nyie wa bongo, mbona hata wewe umekosea, badala ya kuandika neno lafudhi umeandika lafdhi😬Rudi siyo "ludi". Hutokuta kosa la lafdhi kwangu. Kumbuka hilo ewe uliesomea ujinga.
Nilishangaa Taifa Gas ya Rostam Aziz ilizinduliwa na rais Tanzania hata mwezi haukupita nikasikia imeuzwa kwa kampuni ya Mauritius.
Ule mtandao wao ulikuwa mtandao wa mapigaji tu. Awamu ya nne usafi kidogo na deal kadhaaKiongozi mbona WikiLeaks walipotoa taarifa kama hii na kuonyesha makampuni ya akina Rostam na Manji na mengine mengi yakiwa kwenye orodha ilikuwa wakati wa awamu ya nne? Hivyo awamu ya nne nayo haikuwa na inajua kuhusu mambo haya?
Wewe Kiswahili chako cha wakuja.Ndio kitu mlichibakia nacho nyie wa bongo, mbona hata wewe umekosea, badala ya kuandika neno lafudhi umeandika lafdhi😬
Hebu ñioneshe hiyo ripoti wapi imesema Rostam kafungua kampuni Mauritius, labda pamenipita!Kazi ipo. RA hakamatiki. Maana kufungua account Mauritius sio kosa. Kosa ni kuchezesha namba na kutolipa kodi. Na hilo linawezekana kabisa. Especially kwenye gharama na so called management fees
Daa hii ndo ile watu wanasema mambo nyenteNilishangaa Taifa Gas ya Rostam Aziz ilizinduliwa na rais Tanzania hata mwezi haukupita nikasikia imeuzwa kwa kampuni ya Mauritius.
hawana kosa lolote kisheriaAmong those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.
Jamaa hawa mbona ni wafanyabiashara wanaojulikana tu, au shida ni kuweka pesa zao nje ya nchi?
Daa hii ndo ile watu wanasema mambo nyenteNilishangaa Taifa Gas ya Rostam Aziz ilizinduliwa na rais Tanzania hata mwezi haukupita nikasikia imeuzwa kwa kampuni ya Mauritius.