JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

Kiongozi mbona leo umekuwa mbogo? Nani kaguswa hapo? Nimesema unafahamu kwamba Zanzibar.... sijasema unaifahamu Zanzibar! Hiyo Avatar yenyewe inaashiria kwamba Unaifahamu Zanzibar!
Hakuna kulazimisha Tax Avoidance iwe tax evasion bali ninachosema hawa jamaa wana undugu! Transfer Pricing ni avoidance lakini ni dhambi!
Dhambi ya kitabu kipi?

Watu wanaongea ya Mauritius wewe unaongea ya Zanzibar kama si ujuha nini huo?

Hiyo avatar huyo ni mwanamama wa Kamarekani hana uhusiano na Zanzibar kabisa.
 
Nipo mkuu. Majukumu yalizidi, nimerejea. Kuna mengine mapya yataibuka soon tunavyoelekea Uchaguzi. Njia za kutafuta fedha za uchaguzi baada ya 'Wakuu' kuzikataa hela za mabeberu "UNDP" naona kama zimebadilika; wamesababisha watu turudi kazini.
Kwa hiyo unatushauri tukae mkao wa kula?
 
Kiongozi mbona leo umekuwa mbogo? Nani kaguswa hapo? Nimesema unafahamu kwamba Zanzibar.... sijasema unaifahamu Zanzibar! Hiyo Avatar yenyewe inaashiria kwamba Unaifahamu Zanzibar!
Hakuna kulazimisha Tax Avoidance iwe tax evasion bali ninachosema hawa jamaa wana undugu! Transfer Pricing ni avoidance lakini ni dhambi!
Amekuwa mbogo sababu ya Aziz!
 
Nitashangaa kuikosa Azam media nilienda lipia subscription risiti address ya hiyo nchi ya Mauritius nililianzisha mtiti nataka risiti ya VAT ya Tanzania... nikayajua mengi ati makao makuu ni huko mauritius... nikawachana live kuwa Azam media mnakwepa kodi......but nilishangaa why Azam anaachwa?
 
Nilitoa mbona majina 99 na ipo hapa JF. Hamkuwa kwenye mood ya kunisikiliza. Google utaiona hapa hapa JF. Mlisema wahindi watupu 😁😁😁 mlikuwa na majina yenu mlitaka kuyaona

Soma:

Kiongozi mbona nikienda huko nakutana post za akina Ritz ? Uliyoweka wewe iko wapi? Kwa rahisi ya rejea hebu tuwekee hapa orodha hiyo
 
Nitashangaa kuikosa Azam media nilienda lipia subscription risiti address ya hiyo nchi ya Mauritius nililianzisha mtiti nataka risiti ya VAT ya Tanzania... nikayajua mengi ati makao makuu ni huko mauritius... nikawachana live kuwa Azam media mnakwepa kodi......but nilishangaa why Azam anaachwa?

Wapo Mauritius na baada ya kubanwa wameanzisha kakampuni kengine hapa ili wapate kutangaza taarifa za habari!!
 
Hatari sana...

Ukizichunguza hizo kampuni kwa juu juu unaziona kama zipo zipo tu hazina muelekeo kumbe behind the scene ni nyoko...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom