JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

"kilichotokea kwenye hii account kinaweza kutokea tu kwenye nchi isiyo na utawala mfano Somalia, Congo nk"
Hii kauli nadhihirisha nini kwa Tanzania!???
 
Sidhan kama kurasa ndo hzi,mbona hamna jipya?
 
Haya hayaaa 'MOYO WANGU TULIA MJINI KUNA VYA WATU' Kuna watu wanapumulia mashine hivi sasa seriously
 
Ndigu zangu achaneni na huyo mwanamke ameisha vurugwa hua hana jipya kwa mada yoyote ile hua anatafuta mabwana tu anawashwa ------ anatakiwa kutibiwa tu sio kupigishana nane kelele
 
Jpil inaisha hii jtatu inakuja mambo hadharan yanakaribia wezi lazina kieleweke
 
Ni aisee hawa watu nataka waende Segerea this time. Wameshakula hela zetu sana
.Mara Rada, Mara EPA, Richmond, makaa ya mawe kiwila. Now Escrow na wako mitaani tu. Hapana aisee tumechoka
 
Hivi hawa viongozi wanaona watanzania mazuzu kiasi hiki,kumbe hata mzee wa tezi dume ana.....
 

Hakuna aliposema msingi hupo kwenye hizo page! amezitoa ili wajue watu wanazo! tusubiri report ikisomwa ndio tujue!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…