Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Naona hajujuwi kuwa hiyo ni lugha ya negotiation, ni TANESCO waliotaka waondolewa capacity charge na mfanya biashara anasema na wewe ondoa kodi. Hapo sasa!
Hilo wala si la maana, na hutokea kwenye negotiation za miradi mikubwa kila sikuna usisahau kuwa miradi mikubwa mingi ina exemption za kodi.
Pia kumbuka, kuna tax evasion na kuna tax avoidance, tax evasion ni kosa, tax avoidance si kosa.
Kulikuwa na utulivu sana wakati Invisible kaweka huu uzi lakini kulipoanza kukucha tu basi raia wameingia na jazba na kuanza kuandika vitu vilivyo kinyume kabisa na lengo la uzi huu...
Inaudhi sana mtu anapokosa utulivu kwa mambo ambayo yameelezwa kwa wazi kabisa...
Bora Tanesco ipewe ABB sweden kuliko kuendelea kuwa chaka la mafisadi wa ccm!watawala wanachota,wananchi tunaiba umeme,wafanyabiashara wanaiba tabu tupu...
Wala usisubiri, rejea kule haraka! Tena yanukuu haya ninayoyasema vema.Baba upo? Nangojea ukirudi kule kwenye uzi wetu niyasome maneno yako tena na mkuu Mchambuzi.
We bibi nae unakera!Yaani kila hoja wewe ni kupinga tu,hivi wewe ni mtanzania kweli?Mbona huna uchungu na hii nchi!Mi binafsi nimekuchoka,hata nikiona jina lako nahisi kama nimekutana na kinyesi njiani.
Wee ajuza sheria za kodi zipo categorically nani apewe exemption kwa kitu gani na nani asipewe. Iwe ni tanesco wameengineer au mtu mwingine, mamlaka husika ya kusaheme hiyo kodi haikushirikishwa. Subiri report halisi watu tunayo. Acheni wizi halafu mnakuja kuongea upuuzi hapa.Naona umesahau kuwa hiyo ni lugha ya negotiation, ni TANESCO waliotaka waondolewe capacity charges na mfanya biashara anasema na wewe ondoa kodi. Hapo sasa!
Hilo wala si la maana, na hutokea kwenye negotiation za miradi mikubwa kila siku na usisahau kuwa miradi mikubwa mingi ina exemption za kodi.
Pia kumbuka, kuna tax evasion na kuna tax avoidance, tax evasion ni kosa, tax avoidance si kosa.
Ni kipi nimepinga, nisome vizuri nnachokisema, tusikurupuke, tungoje ripoti rasmi itayowasilishwa bungeni. Nawashangaa wanaokuja na kusema eti kurasa zimenyofolewa, wewe unaamini hilo? huoni kuwa ni ujinga huo?
naendelea na misa huku nikipeluzi JF.
Kwa nini wamenyofoa baadhi ya kurasa,,,???
Kwa nini???
Hizo kurasa wamepeleka wapi???
Amewaagiza muhongo,,chenge,pinda au yupi hasa????
Hao wanyofozi walifikaje ofisini,
ofisi ilikuwa wazi???
Je walikua wametumia zile local typeletter kana kwamba softcopy haipo,,,,
katika sakata hili kila jiwe lazima lipinduliwe. hatuwezi kukubali hawa wezi watafune mali za umma hivi hivi huku tunawachekea.
Maccm tunayajua lazima tuchukue tahadhari sasa we unataka iletwe imenyofolewa ndo tuanze chukua hatua? Hiyo itakuwa tumeshaliwa kama vipi zigo lishushwe hapa mapema waone aibu kuchakachua.Ni kipi nimepinga, nisome vizuri nnachokisema, tusikurupuke, tungoje ripoti rasmi itayowasilishwa bungeni. Nawashangaa wanaokuja na kusema eti kurasa zimenyofolewa, wewe unaamini hilo? huoni kuwa ni ujinga huo?
It's a little hard to offer anything further without knowing the full context of my maxim!If at all them people are styupid, dumbbs, embacillez, dimwitted and all the shunning names . . . . ., .
Why do you at times believe in them and give them a power to vote . . . . .
What keeps some of you preaching days and nights on what you want them to believe in and follow. . . . .
A wise man always think before allowing the vocal cords to resonate!!!!
Weka pages zenye recommendations. Hizi hadith hazina issue