my dada nakupendaje tutaonana ijumaa eee???
huoni kakutag??
njoo na shem Ben Saanane
unafurahi nini??sema tu ukweli wako
Mdogo wangu huyo!
Usijali mamito.
Tena nitakuja na shemeji yako Ben Saanane.
Japo Bia nimeacha itabidi nije.
Nafurah kukuona
Mdogo wangu huyo!
Usijali mamito.
Tena nitakuja na shemeji yako Ben Saanane.
Japo Bia nimeacha itabidi nije.
we dada kiboko mpaka wanasiasa we mbayaaaaa we mbayaaaa(in joti's) voice
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!
Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho
Mimi Thiendinenda na Nicas Mtei, naye hana mtu. mia
Nafurah kukuona
Mdogo wangu huyo!
Usijali mamito.
Tena nitakuja na shemeji yako Ben Saanane.
Japo Bia nimeacha itabidi nije.
call me tgo
Uache kumfurahia furahia ukamfurahie huyo ambaye hata kwenye kijiko hajai wala hatoshi hai makubwa haya acha nitoke hapa hapanifai mie
Mdogo wangu huyo!
Usijali mamito.
Tena nitakuja na shemeji yako Ben Saanane.
Japo Bia nimeacha itabidi nije.