JF doctors tafadhali naomba kujua ukweli kuhusu hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF doctors tafadhali naomba kujua ukweli kuhusu hili

Discussion in 'JF Doctor' started by Primitive, Dec 13, 2011.

 1. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kila ninapoamka na hangover nikinywa maziwa fresh naarisha sana! nilishaambiwa kuwa maziwa huwa yanatoa sumu mwilini na vilevile naelewa ya kuwa pombe (alcohol) ni sumu! je ni kweli kuwa kuarisha kunakonitokea ndo natoa sumu ya pombe??
  naomba kujuzwa na wataalam tafadhali!
   
 2. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  acha kwanza pombe
   
Loading...