JF diaries

JF diaries

Screenshot_20250601-221349.jpg
 
Ukiwa na nafasi mbili

Kuongea na kukaa kimya
Ila ukaamua kuongea kwa niaba waliokaa kimya

Kwa lengo la kuwatetea , basi historia itakukumbuka. Kama shujaa maana kuchagua hatari dhidi ya usalama huwa sio jambo jepesi.

MTU anaitwa Tundu lissu , he was gunned kwakuwa tu aliamua kuitetea nchi dhidi ya wezi ,corrupt leaders na na dhidi ya haki za wengi.

Ikiwa mnaona mambo yapo sawa na yametulia fahamu kuna watu walijitoa ,walikufa hawakulala usiku ,wengine walifungwa na kuwa kidnapped.

Historia itaandikwa na ikaandikwa .

Bila Malcon X na Martin Luther King Jr tusingemjua OBAMA Kama rais wa kwanza wa USA mwenye asili ya Africa (Afro-American)

Labda bila watu Kama Tundu Lissu tusingepata the real changes who knows nani anajua .


Hapa nimejaribu kuupeleka Muda mbele na kukaa katika wakati ulipo na kurudi katika wakati uliopita .

Because this is dairy threads I hope after 20 years from now kutakuwa na kizazi kipya ambacho 90% ya maeneo yao ya Kazi (Working place) itakuwa ni mtandaoni .

Na sisi baadhi yetu ikiwa tutakuepo tutakuwa tumefika umri wa kutazama zaidi kusilikiliza kuliko kutenda . so I'm very happy to share my wisdom here.

I wish one day to see Mama Tanzania on safe hands.
 
Wakili wa Serikali amelalamika kwa HAKIMU kuwa Mh. LISSU amevunja utaratibu wa mahakama baada ya kuingia eneo lake la kizimba na kutamka maneno ya #NoReformsNoElection mbele yake HAKIMU kinyume na utaratibu.

Wakili @MpaleMpoki amejibu hoja ya WAKILI wa serikali kwa kumuambia, HATUWEZI kumlaumu MH LISSU kwa kusema hayo maneno #NoReformsNoElection mbele ya HAKIMU Kwasababu utaratibu umevunjwa tangu mwanzo.

Taratibu za MAHAKAMA ni mtuhumiwa analetwa Mahakamani (kwenye KIZIMBA) kabla ya HAKIMU kuingia. Ila leo utaratibu umebadilishwa. Kaingia HAKIMU ndio kaletwa MTUHUMIWA.

Kwahiyo hapa Alaumiwe alietubadilishia huu utaratibu.

#FreeTunduLissu
 
Back
Top Bottom