Acha zengwe Shem,..............
Tunakabana Mpaka Penalt!!!!!!!!!1
Filipo naenda Dar ila itabibidi niagize explosives nikajitoe muhanga! Liwalo na liwe Ben Saanane Madame B?
Sasa hapo utakua umekomoa au ndiyo utakua umezidi kunogesha....?ha ha ha
Ndo umuulize..............Sana sana atakuwa anazidi kutupa maujuzi
Copy yako nimeipata.........naichanilia mbali.
Ukijitoa Muhanga utakufa wewe mwenyewe na wakezo wengine, Blaki Womani na KOKUTONA......wala si mimi.
Badala ya muda mfupi mileage inaongezeka.ha ha ha
Vipi swits Leo tusi-chilly home.unaonaje?
Ha ha ha haaaaaa, nimecheka sana. Sipati picha ndo tumeshalipuka......lol
Nimekumiss sana we mdada
Yaani hapo kwa Bold, Hunishindi mimi my Dear, nikikumbuka Tanga......Amboni....Pangani..........Chumvini,
Pale Maryland Lodge...Dahhhh!!!!!!!!! Nawamiss jamani
CC: Arushaone, Filipo, PakaJimmy my Dr, watu8, CHUAKACHARA, Dark City, Mwanyasi... Preta, Blaki Womani, Lily Flower, marejesho, werawera, wewe mwenyewe KOKUTONA, mie Madame B na Arabela.
Unaikumbuka njia nyembamba kule Amboni........lile giza si mchezo atiii.
Unaikumbuka hii staili ya kutoka kwenye Njia Nyembamba ilivonishinda mpaka nilatoka natambaa kwa mikono.
Ha ha haaa Madame B usitake nicheke usiku huu nikaitwa mwanga loooool............lol.
Unakumbuka ulitaka kukwamia njiani, punzi ikawa km inapotea vilee.
Yaani acha tu those days bhana, unforgotable, CHUMVINI ha ha haaaa,hapa namkumbuka PakaJimmy kwa karibu saaaana "KUMBATIO" uwiiiiii acha kabisa.
Miss you all kwa kweli.
Yaani ile njia achana nayo kbs,,,,,,,taa moja iko mbele, moja kati na ingine mwisho..........Nisimshike shati Arushaone nini, maana lile giza, ile nafika katikati sioni mbele.......Mie na Lily Flower nusura tulie, mpaka shem watu8 akanipa taa, pa kutokea sasa nusu nikwame......Mpaka naimaliza ile njia nyembamba niko hoooooiiiiiii........
Unapakumbuka Airport? Ile Ndege tuliyopanda?
Na ungezimia siku ile i see......tukaambiwa na ya kwendwa mbinguni ndo iko vile vile ha ha haa..........
Nisipakumbuke mchezo.....pale tuliposema bye bye byeee tukapanda ndege yetu......
Hahahhaa............kumbeeee..
Hebu....:crying::crying::crying:.......maana ni full mateso kwake.
Poa, kesho mamito.