Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

Haka hatuna mpango wa kukaacha. Na atakayetuibia huyu mrembo tunamNasra wallah.
Afu nawe Afroie, nifanyie mpango basi unilishe limbwata.
Mkuu kuna kamoja uliniambia utanigawia ila ndo hivyo tena geeeee mpaka leo
 
Haka hatuna mpango wa kukaacha. Na atakayetuibia huyu mrembo tunamNasra wallah.
Afu nawe Afroie, nifanyie mpango basi unilishe limbwata.
Dah inabidi tukae pembeni tu.....Lol
Nyie Wakareeeeeeeee
 
hii nimeikubali....lakini hukusahaulika babu...hivi ZD ulishampa talaka...?
ZD tulimfumania na mzee mwenzangu DC. Sasa kwakuwa wazee hatudhuriani, nilimkabidhi pamoja na ujauzito wa mapacha nliommgea. Hivi sasa DC analea vidume vyangu. Kimoja kwa navyoviona kitakuwa kicheza mpira (AFC si mko ligi kuu, mtakachukua) kale kengine kama hakatakuwa katekista basi katakuwa kamwalimu ka kwaya....... Nawaonea huruma sana waimbaji wa sauti ya kwanza.:violin:
 
Yaani hata sisi wazee wenye kudumisha mila mmetusahau?

ODM a.k.a Babu Aspro na Kongosho, na nyumba zetu ndogo Blaki woman,(huyu ana mimba yetu) Lily Flower, (haka tulikabaka)Keren_Happuch (kwa hisani ya klorokwini), Firstlady,(huyu alijileta mwenyewe) Eliza wa Bunju,(tulimkamatia baa) Afrodenzi,(haka ndo katamu zaidi) Dena Amsi (mh) Obsesd (huyu yuko martenity ward, tulimchukua akiwa na mimba ya dreva wa treni) na wengine atawataja Kongosho asali ya ODM.

Bado kuna nafasi kwa wanaohitaji. Naanza mimi anamalizia Konngosho asali ya ODM.

Mh. Tablets kwa makini sana nilipoona mtiririko wa majina kwenye comment yako, mijicho yangu kod'do nikidhani nitalikuta na lile jina lenye mvuto Jf nzima !
Najua unajua nnavyojua wajua jina hilo ni lipi !
 
Duh! hapa bana!! Yaani naona kama makunguru ya zanzibar tu!!

vivian vipi sasa mbona simu yako inaita tu!! Hupokei... tusemezane basi, wasisikie!!!
 
zawadi yako..hiyo bebi .....
 

Attachments

  • preta.jpeg
    preta.jpeg
    2.4 KB · Views: 110
Mmh! haya couples hizo watakaoachana watangaze dili maskini Maufong wangu yupo china angekuwepo nasi tungekuwa tunajirusha humu
 
Preta,
nina imani Uzi huu uliyotoka nao utakua chachu kwa vijana wetu hapa Jeief , wakatengeneza couples, na hivyo kusaidia kwa (He) kuepukana na side effects za kupiga Puchu , ambayo results zake ni kama ile picha ya yule jamaa mwenye mkono mmoja mwembamba kama chelewa!
Na mwingine wa kibodybulder na kwa (She) wataepukana na ajali za Kuungua na majimoto.
 
Eliza wa Tegeta + ????????????
Kongosho + ????????
Aspirin + ??????????
Kaizer + ???????????

Eliza wa tegeta yupo na mwanakijiji wake wametulia kama hawapo. siku moja eliza apotee uone mzee mwanakijiji anavyo haha. Ukweli wanapendana sana.
 
Ukiona sipokei wewe tuma vocha ya buku 10 afu nikiona missed call inajipiga automatikale. Umeona nimeopoa, mwendo wa diamonds tu kama wema sepetu!
Nakutafuta, simu umeacha wapi manake inaita tu haipokelewi.
 
Hapa mnatongozana au mmeshatiana moyoni tayari kwa posa??!!

Mimi na mjomba uncle MMKJ tutawasaidia kupeleka posa!
 
Back
Top Bottom