Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...

sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.

Haya yatakuwa yakudumu manake wengi wamejifunza kutokana na makosa lol...
 
Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...

sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.

kwa sasa naona wananchi wana itikadi kali sana......wazalendo wanakaba mpaka basi....
btw....wewe ulikwenda wapi siku zote hizo...?

heheh...umejuaje!!? nipo mbona..sema huwa mara nyingi naingia kimya kimya tu kuangalia mambo yetu yale si unajua tena JF full kujiachia...
Kwanini kimya kimya bana? Unaona sasa umekosa mwenza lol.
 
Bishanga na Rocky unajua kuna lawyer mmoja hivi alibadili clause fulani...
unatutishia nyau sio? kwani tunakusingizia,au siku hizi baada ya kuchacha umetulia (zamani nasikia ulikuwa customs officer namanga).
 
Mhhh kwani SL hamjui TF kuwa huwa hatulii na macho juu juu
Akienda akirudi mambo yote yameisha anaanza upya
Tf nasikia mimi na wewe katufungulia RB,kisa eti tunamharibia kwa wake/hawara zake kwa kumuanika.
 
A Friend....
25.gif
ccepts you as you are
(B)elieves in "you"
(C)alls you just to say "HI"
(D)oesn't give up ! ! on you
(E)nvisions the whole of you (even the unfinished parts)
(F)orgives your mistakes
(G)ives unconditionally
16.gif
elps you
(I)nvites you over
(J)ust "be" with you
11.gif
eeps you close at heart
8.gif
oves you for who you are
(M)akes a difference in your life
(N)ever Judges
(O)ffer support
(P)icks you up
(Q)uiets your fears
(R)aises your spirits
(S)ays nice things about you
(T)ells you the truth when you need to hear it
12.gif
nderstands you
(V)alues you (W)alks beside you
(X)-plains thing you don't understand
(Y)ells when you won't listen and
(Z)aps you back to reality.....

LOVE U BROTHER
Smaaaaili,be careful,unacheza na waya wa moto,TF unamjua unamsikia,muulize Husn,SL...........,chezea TF wewe!
 
Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...

sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.

YESU ANATUPENDA TUTUMIE VILE UPENDAVYO,ili tusiwe chali aisee.
 
Yaani hata sisi wazee wenye kudumisha mila mmetusahau?

ODM a.k.a Babu Aspro na Kongosho, na nyumba zetu ndogo Blaki woman,(huyu ana mimba yetu) Lily Flower, (haka tulikabaka)Keren_Happuch (kwa hisani ya klorokwini), Firstlady,(huyu alijileta mwenyewe) Eliza wa Bunju,(tulimkamatia baa) Afrodenzi,(haka ndo katamu zaidi) Dena Amsi (mh) Obsesd (huyu yuko martenity ward, tulimchukua akiwa na mimba ya dreva wa treni) na wengine atawataja Kongosho asali ya ODM.

Bado kuna nafasi kwa wanaohitaji. Naanza mimi anamalizia Konngosho asali ya ODM.

Hahahahaha nimeshangaa thread imefika page ya 8 hujatokeza msalimie konnie
 
Back
Top Bottom