Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

HANIPENDI YULE ONA ALIVONIFANYA
373975_10150764531846983_741191982_11326533_1853998369_n.jpg
Duh!! Baadae tutaonana..
 
Mie nasoma phd, ndo mwaka wa pili sasa ni ni ya miaka 4 tu. Nikikuonaga humu moyo unanienda mbio kma pangaboi. Niruhusu nikutongoze kwa ajili ya hiyo sponsor, hata ukilipia 100% sitojali maana nikutandaza muno.
Aseeeee
Duh!!!!

Hakuna kabinti kanakonifaa humu!!
Kawe kanasoma na kawe hakajapata mkopo wa board ya mikopo, nataka nikalipie 75% or so!!!

Hima, offer inaisha saa tano kamili! Kafanye kitu cha pm!
 
We tulia bana (we unajulikana kabisa status yako) haihitaji kutangaza maana kuna wambea wengi kama sisimizi. Tulia nitakutaja kwenye special thread kabisa

Endeleeni tu nawamulikaaaa.....Hivi Dena ule mkon'goto wa mwaka jana bado hujakoma tu???
 
Mchungaji unayekula kondoo nipishe huko.

Hunijui, sikujui achana na mimi na ukafie mbele. Founders (LIzzy&The Finest,2011), Revision & Promotion(Konnie, 2012)

Hahaahaha. . .
Kumbe ehhhhh?
Na kweli 'hunijui, sikujui' ya nini kugandana?

Ntamlindia!!!
 
Endeleeni tu nawamulikaaaa.....Hivi Dena ule mkon'goto wa mwaka jana bado hujakoma tu???

Ha ha ha ha kumuacha nilikwambia siwezi walahi vile hata unifanyeje. Mzima lakini umechange ID??
 
Mie nasoma phd, ndo mwaka wa pili sasa ni ni ya miaka 4 tu. Nikikuonaga humu moyo unanienda mbio kma pangaboi. Niruhusu nikutongoze kwa ajili ya hiyo sponsor, hata ukilipia 100% sitojali maana nikutandaza muno.
Kwanza...........kamata hii.........
69376_135477889836021_100001214312304_195528_7276366_n.jpg


halafu.........una accounnt benki kuu?? I am banking with them, kama huna, kafungue, itakuwa rahisi mimi kukufanyia transfer!!!

U know wara i mean!!
 
Hehehe! Mgeni utasutwa wewe...lol. Kunikimbia hawezi bana,..ataanzia wapi anavyonipenda?
Hivi Nitty yupo kweli au ndo keshakamatwa na Jimama kakusahau maana hata kuonekana siku hizi haonekani kabisa.....
 
pole sana jamani!!! Isije ikawa asipofanya haya unamchokoza akupige ili ujue anakupenda, kama wae wenzetu wa mara!!! Pole..
wewe una mtu au upo single tuanounce new couple sasa hv
 
Back
Top Bottom