Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

( Wewe ni wangu mahabuba. Nakupenda kiasi kwamba hata uji haupiti nikikukosa. Silali usiku kwa ajili yako. Nakuota kila siku. Nakupenda mahabuba wangu )
Ukisoma futa fasta au funika na wino mweusi wambea wasione)

Acha kumdanganya wewe,mbona huwa unalala mpaka unakoroma na kumuasha Tuli?

Taratibu basi mbona unataka wambea wajae bana
(Kwenye mabano tena. Ni wewe tuu hakuna mwingine. Nakupenda kama pesa aise. Yaani ukikosekana najiona kama nimechalala mbaya. We ni wangu mahabuba)

Ukimuona mkeo unaona kama mfuko umetuna au vipi:wink2:
 
Kwanza leo we jiandae lolote laweza kutokea...kesho bado nina konfemu
UJE UNIFANYIE HII
01AweCZ4tCVOgAlKAOAADfgRQqmKU:.mp3
ACHANA NA LIZY HANA LOLOTE HUYO
 
Ha ha ha ha kumuacha nilikwambia siwezi walahi vile hata unifanyeje. Mzima lakini umechange ID??

Kwa jinsi gani alivyomtamu.....basi burudani inaelekea yule wako anakasoro kidogo.
Mi mzima mkemwe,imebidi nibadilishe maana Tuli kashajua kusoma sasa inakua shida kidogo akiona jina lake.
 
Omg! Itabidi unipangie pango masaki! Ntapita wapi huku temeke si watanitoa roho?
Naomba hela ya kufungulia account, naenda kwa registrar anipe introduction letter ila itabidi aseme mie mfanyibiashara ya vito.
Kwanza...........kamata hii.........
69376_135477889836021_100001214312304_195528_7276366_n.jpg


halafu.........una accounnt benki kuu?? I am banking with them, kama huna, kafungue, itakuwa rahisi mimi kukufanyia transfer!!!

U know wara i mean!!
 
Back
Top Bottom