Eliza wa Tegeta
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 251
- 108
I love you my darling shem. Lets go dancing huh lalala!:lalala::bange::drum::violin:
:focus:
Shemeji hashangiliwi, unless unataka kitu!
I love you my darling shem. Lets go dancing huh lalala!:lalala::bange::drum::violin:
:focus:
ZD tulimfumania na mzee mwenzangu DC. Sasa kwakuwa wazee hatudhuriani, nilimkabidhi pamoja na ujauzito wa mapacha nliommgea. Hivi sasa DC analea vidume vyangu. Kimoja kwa navyoviona kitakuwa kicheza mpira (AFC si mko ligi kuu, mtakachukua) kale kengine kama hakatakuwa katekista basi katakuwa kamwalimu ka kwaya....... Nawaonea huruma sana waimbaji wa sauti ya kwanza.:violin:
Afu siku hizi mbona hutii timu BM bar? umehamia Tegeta By Night au PK?Shemeji hashangiliwi, unless unataka kitu!
Una akili sana wewe dubu!!
Nitakuletea samaki wa kukaanga
Sasa mbona unacheka bila kunigongea LIKE? Unajua mtu akicheka kwenye post zangu afu asikagonge kale kadude, kikojoleo changu hakisimami kwa wiki moja unusu. Unataka wazembe wanichukulie mama watoto wangu mchana kweupe nikiwa naangalia? Hebu ka do the needful kabla baioloji yangu haijazurika:crazy:Hahahaaaa mpaka nimepaliwa,kuna watu mmepinda humu
Mambo..
Karibu tena ingawa naona watu wameotea....Haya, nimerudi.
Nawatakieni mahusiano mema kwa wale wapya pia nawasihi wawe wavumilivu maana UVUMILIVU NI DARAJA LA USTAARABU HATIMAYE UPENDO WA KWELI.
We tulia bana (we unajulikana kabisa status yako) haihitaji kutangaza maana kuna wambea wengi kama sisimizi. Tulia nitakutaja kwenye special thread kabisa
Teh dogo soma....Naungana nawewe bro kuwatakia mahusiano yalo mema, hv wewe bro hauna shemeji humu ndani??
Mhmmm!!! Bado mimi tu.
Teh dogo soma....
Ila ahakikishe Ousofia hayupo maana watamalizanaCheck na Jane000 Nahisi mtametch sanaaa...
Ila ahakikishe Ousofia hayupo maana watamalizana
Eeeh bana eehh.....
napenda kuchukua fursa hii kutambua uwepo wa pea ziliopo humu ndani.....
kutokana na uzi huu........https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/55860-couples-za-jf-ni-hizi.html....naona wengi wapo chali.....nikimaanaisha wameachwa/acha...fumania/fumaniwa na hata wengine ni wajane...
Well.....sio ishu....hebu tucheck hii...
1. Husninyo + Judgement (baada ya Uporoto kupigwa chini)....
2. Cantalisia + Rejao (hii ni baada ya kumkwapulia Smile).....
3. Taijike + Excellent (wapya hawa).....
4. Erickb52 + Amyner (kama #3)......
5. Mwali + Ivuga (japo Ivuga kamkimbia Mwali).....
6. RussianRoulette + Paw (mmmh)....
7. Preta + Mtu Chake (japo TANMO anataka kuvuruga)......
8. Sweetlady + Nitonye (ila Sweetlady anataka kuvunja ukwimya samweya)
9. Kaizer + AshaDii
10.
11.
Nani nimemuacha......