Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

da Preta kwanza alinipa talaka cku ya kikao thn kesho yake ndo akapigwa ban. ilionesha kabisa nilionewa. hata mama yangu measkron ni shahidi. kuja kugundua kumbe anamfukuzia mke wa mtu CUTE, badala ya kumpata CUTE akapata ban! dats y nipo huru kutafta mume mwngne!
Kikao kilikuwa kirefu bila mafanikio, mwanangu alikuwa mnyonge sana ila rafikie CUTE akampa uke wenza kwa Saint Ivuga, mara wakamtema sasa huyu
Anayetaka kuja platozoom namtazama kwa jicho moja bado
 
Last edited by a moderator:
halafu ongezea hapo. TANMO na Jimama.. Usiibanie hii na mawivu yako!

hi hi hi... TANMO bana......

526194_10150925901518699_466910652_n.jpg

 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
shem umekubali eeeh... TANMO anatishaaa....hapana chezeiya....

Unadhani nnalo?
Sina Shem!
Eventualy i shut up my bakuli! Eventhough not only me with my colleagues, neighbors, all of us we remained silency!
Huo mziki mnene bwana! Still sijajua nani hapo anafaidi kuliko mwenzake.
 
Last edited by a moderator:
Preta hivi hukuona threads zilizopita za my sweee pie Young_Master??? au ni roho ya kwa nini! hebu edit uweke couple hii mpya ebo! 10. cacico + Young_Master (mpaka kiama!) ebo.
 
Last edited by a moderator:
Preta hivi hukuona threads zilizopita za my sweee pie Young_Master??? au ni roho ya kwa nini! hebu edit uweke couple hii mpya ebo! 10. cacico + Young_Master (mpaka kiama!) ebo.

nitaweka mpenzi.....kuna nyingine zimekufa na nyingine ni mpya....
yangu mwenyewe ipo chali.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom