sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Ngoja nimstue alog in.Nina hamu ya kuongea naye "kiluga"
Ngoja nimstue alog in.Nina hamu ya kuongea naye "kiluga"
Atuulize nini?Smaaaaili,be careful,unacheza na waya wa moto,TF unamjua unamsikia,muulize Husn,SL...........,chezea TF wewe!
King'asti STUKA!Kwanza...........kamata hii.........
![]()
halafu.........una accounnt benki kuu?? I am banking with them, kama huna, kafungue, itakuwa rahisi mimi kukufanyia transfer!!!
U know wara i mean!!
Nitts yuko arumeru,ye kazi yake anakodishwa kuwabeba wagombea juu kwa juu wakishuka kwenye helikopta,hajalishi ni wa chama gani,akikodiwa na ccm sawa,wakija tlp sawa,chadema sawa,ye mradi hela tu.Hivi Nitty yupo kweli au ndo keshakamatwa na Jimama kakusahau maana hata kuonekana siku hizi haonekani kabisa.....
Khaaa Bishanga!!! Kwa dhiki ipi aliyonayo?Nitts yuko arumeru,ye kazi yake anakodishwa kuwabeba wagombea juu kwa juu wakishka kwenye helikopta,hajalishi ni wa chama gani,akikodiwa na ccm sawa,wakija tlp sawa,chadema sawa,ye mradi hela tu.
sijui maisha ya couple mpya yatakua marefu au ndio yataishia kama hizi za mwanzo zilizolala chali.
mshikaji mbona unaniumbua kweupe hivi? kujidai koooooote kumbe Mwanakijiji ndo anajinafasi? basi bana kwa hasira nahamia CCM.Hapa mnatongozana au mmeshatiana moyoni tayari kwa posa??!!
Mimi na mjomba uncle MMKJ tutawasaidia kupeleka posa!
sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!Daaaah E wa T upo? Bishanga alikua anakuulizia sana,kutwaa kukutaja!
Nitty ndio yupi?
Nitty ndo kaka nitonye,queenkami
Ngoja nimstue alog in.
Poa..
Namwona Bishanga naye anatamba humu ndani.. Subirini tuje turuke ki-external..
Ndio ukome kujishaua! Ona limekushuka.sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!
Nitty ndo kaka nitonye,queenkami
okay thanx,sasa mbona unaniulizia mim habar zake jaman.
Anzeni kuruka !Poa..
Namwona Bishanga naye anatamba humu ndani.. Subirini tuje turuke ki-external..
Kwani mateka ulishamwachia?Ole wake mtu atangaze koloni langu, nitakuwa mkali kama eliza wa tegeta au mama enock au mama babu.
Afu hivi vimwanamme snacks vyangu navyo kwa mbwembwe, ndo maana vinazabuliwa mabao lol.
sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!
ishu ya hela ya sadaka!Atuulize nini?
jamani nikisikia jungu nisiseme?Khaaa Bishanga!!! Kwa dhiki ipi aliyonayo?
okay thanx,sasa mbona unaniulizia mim habar zake jaman.
Hapana cheki vizuri..namwuliza mchumb'ake