Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

Ndio ukome kujishaua! Ona limekushuka.
ujue siku mbili tatu hizi E wa T nili note kabadilika,simu zangu hapokei,sms hajibu,kuuuuumbeeeeeeee!
kweli wanawake hamna muamana,sasa kafata nini huko kijijini anaacha maisha ya town full AC?
 
Sasa mbona unacheka bila kunigongea LIKE? Unajua mtu akicheka kwenye post zangu afu asikagonge kale kadude, kikojoleo changu hakisimami kwa wiki moja unusu. Unataka wazembe wanichukulie mama watoto wangu mchana kweupe nikiwa naangalia? Hebu ka do the needful kabla baioloji yangu haijazurika:crazy:

Duuuh hii nimecheka zaidi, sasa kitasimama vizuriiiiii
 
Eliza wa Tegeta naye.. Mcharuko sana!
yaani nilikuwa sijui,nimewekeza sana pale,RAV4,nyumba tegeta,wadogo zake nimepeleka ulaya.....we acha tu,hapa ni maumivu makali,poa lakini yote maisha.
 
sitaki hata kumsikia,kumbe ana mtu aisee,uuuuuuuwwwwwwiiiiiiii weekend yangu imaharibika,nakwenda kujifungia ndani,kujishaua kote huko,du!

Mie wala siingilii, baadae mkikutana mnapeana mahaba kesho ukija hapa utaongea mengine.
Akuuuuu mi simo!
 
Mie wala siingilii, baadae mkikutana mnapeana mahaba kesho ukija hapa utaongea mengine.
Akuuuuu mi simo!
mmmhhh Mwanakijiji nasikia ana share kwa SS Bakresa,ntamweza mie? najiweka pembeni babu nsije pata kichaa bure.
 
Back
Top Bottom