Du! Una kumbukumbu kali weye!
Hahhahaha mkuu umeona eeehh. Nakumbuka mbaya aise hawa watu wawili hawa
Du! Una kumbukumbu kali weye!
Hahaaaeheee....
hii sasa....leo tutajua hata wale wa chini ya kapeti.....
Am single but looking
Si nimeona Kongosho na Lizy......Kongosho + Asprin
Kaizer + AshaDii
Kongosho + Asprin
Kaizer + AshaDii
Not Single but available.....hellow Vivy...um single and available...how like that?
Mhhh ishavurugika nafikiri TF hana msimamo kabisa haaminikiHii haujavurugwa kweli?
Hahhahaha mkuu umeona eeehh. Nakumbuka mbaya aise hawa watu wawili hawa
Hahahaaaaa tangaza rasmi kuachana na Bi Nyakomba then tukusaidie kwa Vivy faster.....tulia braza...si unajua nimeona kitu cha Vivy hapo juu...so chuna kwanza!..
Mr Rocky na Mama Tuli mbona mnaisahau sana hii couple au kwa kuwa haivumi
TF na na na na na na ........SL ( kwenye deal la kukwapua sadaka kutoka kwa waumini)
Fang aliniuliza habari zako......
Mmmmmhhhhh hapa sitii neno,nasikia mama matesha siku hizi kajiunga jf na yeye na mmewe wamebadilishana password!Kongosho + Asprin
Kaizer + AshaDii
We nae,hujui kakangu siku hizi anavinjari jf?Hapa nakata rufaa kabisa hata kama ni small hausi lazima ungenitaja
Hapa nakata rufaa kabisa hata kama ni small hausi lazima ungenitaja
Mtu chake, habari za asubuhi bana?
We nae,hujui kakangu siku hizi anavinjari jf?