Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
hawezi kunijibu ndio maana nakosa imani nae!Superman soma #36 hapo juu.
Unajuwa vizuri kiswahili wewe? uso uko mbele au nyuma!?
Superman naomba ufafanuzi, je shindano hili ni la MMU au ni la JF nzima? kama ni JF nzima achana na kuongeza majaji kutoka MMU nenda majukwaa mengine kuna watu makini zaidi wa kufanya hii kazi.
Pia Mkuuu Superman ni bora mngesema ni zawadi za aina gani kwa kila category na thamani yake ili sponsors wajitokeze either kizawadi au kuchangia part ya zawadi. Pengine ungepata ushiriki wa sponsors zaidi maana wengine wanaogopa pengine tuzo/zawadi ni za gharama.
Superman utanisamehe kweli, si unajua maandalizi kidogo lazima yawepo, nina mambo kidogo yanahitaji kuwekwa sawa, next time twende tena tujipange kweli kweli hata tukifikia mahali wajue kuwa kuna watu walikuwako hapa, ila ukiamua unaweza kuwahi tu mkuu.
Speed Tanker kama vipi nifundishe.
Mkuu Zogwale kama ilivyoainishwa katika thread iliyopita (refer post kuu ya uzi huu), categories zilizopo ni washindi wa majukwaa mbalimbali. last year zawadi zilikuwa ni TZS 50,000 kwa kila mshindi. Safari hii tungependa kuboresha zaidi.
So Sponsors tunaomba mjisikie huru ku-plege mnachoweza!
Sijaelewa gfsonwin... Naomba nieleweshe... Superman akupange wapi na mimi nikusamehe nini mamie?
mbona mimi niliahidi kuwa mfadhili lakini sijawekwa hapo!nilisha pm superman
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
Kwenye jukwaa la siasa kama hawa wafuatao watapata muda na kukubali basi wanafaa sana mmoja wapo kuwa kwenye jopo la majaji.Mkuu Speed Tanker hilo nalo neno. Thread hii iko jukwaa la Mchanganyiko ili tupate wadau mbalimbali toka majukwaa yote. Shida ni kuwa kila mtu ana interest na thread anayopenda so MMU so far naona ndo wanapenda zaidi hii thread ingawa honestly wanachangia pia majukwaa mengine. So shindano hili ni la JF nzima.
Kwa kuwa tuko katika Mchakato wa kupata Judgez, tutashukuru pia kupata maoni au mapendekezo yako so that we can move forward.
mimi obama wa bongo mwana jf mwaminifu natamka rasmi kuwa nitakuwa mdhamini halali wa jf competition 2012,nitaitetea na kuzilinda sheria zote za jf !(naongea haya nikiwa ni meshika kitabu kilicholeta vurugu mbaga LA)Mkuu, sikuona PM yako yoyote. Pia nilipokuuliza ulkisema ungemtoa binti yako kama zawadi na likaishia hivyo. so tulilichukulia kiutani zaidi. Lakini kama uko serious kama sponsors wengine, naomba ulithibitishe sasa!
Wala asipate tabu ya kufikiri sana, wewe chitchat ndio panakufaa, huwa nawafuatilia wewe na Gaijin hata sifa ya kuwa Jaji huna, basi tu kwakuwa Mkuu Superman amekuidhinisha wacha tu na iwe hivyo, lakini kwangu huna sifa sawa na Gaijin.anipange katika position ambazo yeye alizi highlight na kuni- mention mm. but hatukuwa tumeelewana vzr b4. ndio nikamwambia basi achague yeye position anayoona mm nafiti zaid kisha anitoe kati ya wagombea wa hizi nafasi ili kuwepo na fair election.
Superman mwanzoni sikutaja kiasi ntakachochangia ku-sponsor mshindi wa Chit-Chat kwa wanawake. Nitatoa 50,000/=.
Upande wa judges naomba muongeze Nyani Ngabu mkuu.