naomba unipe details zako za m-pesa kwa pm..i will do it just nowKamanda wangu hongera sana. TZS 30K ni pesa nyingi sana tofauti na unavyofikiri. Ngoja ni-update Sponsors list.
Superman naona vijana walijipanga kwa speed ya 100% hivyo tumeshtuka safari iko tayari,
labda wakati mwingine endapo Mungu atatoa kibali.
Unajuwa vizuri kiswahili wewe? uso uko mbele au nyuma!?
Mkuu watu wazima tukiamua bado tunaweza, tunaondoka saa 9 kabla hawajamaliza meeting yao ya kwanza, tunatia team ndani ya Tanga kunani. Kama vipi sema Mkuu tufanye kweli. Itanoga zaidi!
nieke kwenye position ambayo unaona mie nitafit. ila sasa nitaomba ukubali niondoke miongoni mwa contestants ili kuwepo na fairness. AshaDii accept my apology.
Unajuwa vizuri kiswahili wewe? uso uko mbele au nyuma!?
Superman naomba ufafanuzi, je shindano hili ni la MMU au ni la JF nzima? kama ni JF nzima achana na kuongeza majaji kutoka MMU nenda majukwaa mengine kuna watu makini zaidi wa kufanya hii kazi.