sijui gegedu wangu atakuwa nani?
Kaka-binamu jamani.
Safari ile uliahidi btw hukutokea.
Karibu.
Tunaomba utufadhili kiingilio na mavazi ya hii combinenga.
Nakutumia quotation za sheria ngowi.
Hahaha!
Una Dompo kichwani au?
Si yule wa kule "To Fast To Ferious".
Hureeeee....
Karibu wifi.
Afu uliniudhi wewe, ndo nini umekuja kukaa nusu dk kisha ukasepa.