JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

aaaah wapi!!!! Nilimtoa mimi, kama alikudanganya ana birika basi alitumia mchina

Slave nimecheza nae kombolela na ndo tulitoana huko...
we umekutana nae ana meno yake 33 umemtolea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mpashe huyo!
Kuja na kuja tu kafikia juu ya kifua ch mume wangu.
Nakutuma ukamwambie, aniachie mume wangu.

Lady doctor muache shemeji angu!!!!
nilisema mie timbwili ndo hili sasa, na hapa ni nusu tu ngoja hiyo jmosi uone timbwili kamili!!!
 
Last edited by a moderator:
Slave nimecheza nae kombolela na ndo tulitoana huko...
we umekutana nae ana meno yake 33 umemtolea wapi?

nini kombolela, wakati mie nilicheza nae kibaba na mama wakati meno ndio yanaanza kuota tukafanya kweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom