JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

Madame B hebu andaa "NAKED PARTY"..last nilihudhuria nikiwa ughaibuni..huku cjaisikia
 
Last edited by a moderator:
Asprin na party hii lazima tukugombee na Madame B
hii kweli tuifanyie kule baa kwako bunju hivi umeshajenga ukumbi au
unataka tukakae sebuleni kwako.
We tushakuzoea. Safari hii naona utasingizia ziara ya Obama.

Hii Party isipofanyika shambani kwangu Bunju, mi msinitafute.
 
Last edited by a moderator:
Waziri mkuu katoa kibali,je hakuna tishio lolote inatakiwa kuwa na intelijensi,naomba kuwa mapokezi siku hiyo
"VV"
 
Back
Top Bottom