JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

JF, Combo-Party. Twaomba Maoni Yenu

Hii party iwe usiku kuanzia saa 6. Michango ijulikane mapema ili tujiandae vyema
 
December???!!!!!
Tunajiandaa sasa.
When niko alive I will be there.
 
Ilo ni wazo zury! Xo inabidi tupange mapemaaaa! Then iwe ya kubambaaaaa...! JF OYEEEE.....!
 
nakumbuka nilikaa na lara 1 Ruttashobolwa damn wengine sikumbuki

Hahaha...kushoto kwa lara 1 alikaa Rutta, halafu kulia kwake alikaa Mike...
Najua ule mtandio ndio ulipofua macho yako best....:becky:
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...kushoto kwa lara 1 alikaa Rutta, halafu kulia kwake alikaa Mike...
Najua ule mtandio ndio ulipofua macho yako best....:becky:

Hebu muulize ule mtandio wake uko wapi?
 
Kwa mapenzi ya MUNGU na kwa imani nitakuwepo.
Na kwenye kamati ya maandalizi nishtueni.
 
Back
Top Bottom