JF Chit Chatting iko kama bahari "KUPWA NA KUJAA"

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
"Jukwaa hili kuna kipindi linachangamka sana kuliko majukwaa mengine, na kunakipindi members wake hawaonekani kabisa"

Maji kujaa na kupwa ni mabadiliko ya uwiano wa bahari unaopanda na kushuka kila siku. "Maji kujaa" ni hali ya juu na "maji kupwa" ni hali ya chini ya maji ya bahari. Tofauti kati ya hali hizi inaweza kufikia hadi mita kadhaa.
Mabadiliko ya maji kujaa na kupwa hutokea mara mbili kila siku yaani kila mahali huwa na maji kujaa mara mbili na maji kupwa mara mbili kila siku.

300px-Bay_of_Fundy.jpg

... Kaka mkubwa amezoe kupaita "Stress free zone" au sehemu yakutumika kama njia ya kutafuta wachumba, kuunganisha marafiki, na kukuza ujamaa kati ya baadhi ya members.

...au ndiyo dalili ya muungano kuvunjika?
 
Chit chat ilichangamka wakati akina Bishanga wanatafuta wanawake wa kuwapikia futari kuna walioingia mkenge kama akina Kongosho hadi ujauzito wakapata. Idd inakaribia wameshatangaza kurudi kwa wake zao. Wengine kama akina Zahra White na Mrs Bishanga wakatolewa nje. Lady docto kaambulia ya mkeka kwa Arushaone. Akaja Vin Diesel nae katoka na yule mrembo mwenye makelele. akaja kiwatengu kamrubuni Mtoto wa watu ameenda kumpikia idd imekaribia kiwatengu kaingia chaka yaani cc ni full mkanganyiko loooh.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haa haa umenichekesha bi dada....Hawa wa baba humu hawasomeki kabisa....yaani full usaniii.

Hapa akili kumkichwa..........
 
Tunapunguza stress tu kbm hakuna lingine
 
Last edited by a moderator:
Chit chat ilichangamka wakati akina Bishanga wanatafuta wanawake wa kuwapikia futari kuna walioingia mkenge kama akina Kongosho hadi ujauzito wakapata. Idd inakaribia wameshatangaza kurudi kwa wake zao. Wengine kama akina Zahra White na Mrs Bishanga wakatolewa nje. Lady docto kaambulia ya mkeka kwa Arushaone. Akaja Vin Diesel nae katoka na yule mrembo mwenye makelele. akaja kiwatengu kamrubuni Mtoto wa watu ameenda kumpikia idd imekaribia kiwatengu kaingia chaka yaani cc ni full mkanganyiko loooh.

Mamndenyi hivi zile talaka zako wamekuandikia na expire date yake????
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor
talaka hainaga expire date,
ukipewa talaka masharti yake ni kuwa ukaolewe kwingine kwanza
huko ukiachika tena unauwezo wa kurudi kule kulikotangulia kuachika

Kama siyo kukupisha saa hii nilitakiwa nirudi kwa Arushaone baada ya talaka ya Mr Rocky.

Kwa sasa ndo namalizia kabisa eda,
yaani ikifika 8/8 nitaanza kuweka uzi
wa kutafuta mume mupyaaaaaa!

Halafu safari hii nitakuja na mikwara kibao,
Lazima nimpata mtu maarufuuuuuuu
kuliko wanaume wote hapa jamvini.
ngoja siku ifike utajionea.

kbm umewaza nini kurusha huu uzi? Hivi unajua kichoendelea hapa? Ogopa maji yaliyotuama chini samaki wanazaliana.Hapa cc kazi inapigwa kama kawa ila kiPM zaidi,upo hapo mkuu au unahitaji ufafanuzi zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor
talaka hainaga expire date,
ukipewa talaka masharti yake ni kuwa ukaolewe kwingine kwanza
huko ukiachika tena unauwezo wa kurudi kule kulikotangulia kuachika

Kama siyo kukupisha saa hii nilitakiwa nirudi kwa Arushaone baada ya talaka ya Mr Rocky.

Kwa sasa ndo namalizia kabisa eda,
yaani ikifika 8/8 nitaanza kuweka uzi
wa kutafuta mume mupyaaaaaa!

Halafu safari hii nitakuja na mikwara kibao,
Lazima nimpata mtu maarufuuuuuuu
kuliko wanaume wote hapa jamvini.
ngoja siku ifike utajionea.

hahahaaa............ Naingojea kwa hamu iyosiku nione utakavyo vishwa ring na superstar wa JF, ila nakuapia yule akikuoa hata mwezi hutomaliza lazima akutwange talaka!!!!!!!!
 
Lady doctor
talaka hainaga expire date,
ukipewa talaka masharti yake ni kuwa ukaolewe kwingine kwanza
huko ukiachika tena unauwezo wa kurudi kule kulikotangulia kuachika

Kama siyo kukupisha saa hii nilitakiwa nirudi kwa Arushaone baada ya talaka ya Mr Rocky.

Kwa sasa ndo namalizia kabisa eda,
yaani ikifika 8/8 nitaanza kuweka uzi
wa kutafuta mume mupyaaaaaa!

Halafu safari hii nitakuja na mikwara kibao,
Lazima nimpata mtu maarufuuuuuuu
kuliko wanaume wote hapa jamvini.
ngoja siku ifike utajionea.

i am watching you Mamndenyi!
 
Last edited by a moderator:
mama this tym ukimpata mume,zungushia mabomu nyumbani kwako..mwizi wa mumeo akisogea tuu unamlipua..na uyo mume alisumbua nae unamlipua kiungo kimoja baada ya kingne..ili wasikuumize moyo tena

mimisa wala sina tatito,
si unajua kuachwa ni suna

Back
Top Bottom