jf chit chat taaaaamu!

si ulijua ni mchUmba wa mtu? Hapo ulijitakia.hapa tunazungumzia mahusiano yale mkaka umemkuta mdada katulia unamfukuzia anakukubali na kuweka moyo wako kwako,then unasepa bila sababu
wewe hapo ni sawa na ulitembea na mke wa mtu mkuu,uzinzi huo
 

Alikueleza tangu mwanzo kuwa mchumba yupo nje ya nchi? Au ulifahamu vipi...

Kama hukufahamu then ni kweli anapaswa kulaumiwa kwa kucheza na hisia zako na kukupotezea muda..ila cha msingi nikukubaliana na ukweli halisi. Kumchukia haitabadili situation nzima....

Kama ulifahamu tangu mwanzo then......ulijitakia!
 
unakuta mdada yupo na mwanaume anamlisha,anamvalisha kila kitu anategemea waje kuwa pamoja,irresponsibility man for what? wake up ladies

Mi siamini juu ya kuhudumia kwa hope yakuwa atakuwa life partner..hata mwanaume pia,huwezi kujitia Godfather wa mtu unahudumia kuanzia tution fee mpaka pocket money...wengi sana wamelia kwa hii kitu. Likewise kwa wadada...ila kupenda shosti wangu....wanakwambia Love is blind kumbe wao ndio blind sasa..
 
ujue watu tu huwa tunakosea mwanzoni unaona mapungufu ya mtu na makero yake unasema haina shida atachange.mimi hata kama tumekubaliana kuanza mahusiano leo yaani ukunikera hata kesho haifiki:flypig:
:flypig:
upo sahihi kabisa.... kama unataka umpate mtu yupo kama unavyotaka utakuwa frustrated na hutopata n u wl realize it whn its too late.
ambaye yupo kama unavyotaka... labda ungekuwa na uwezo wa kuumba wewe, imagine mtoto unamzaa wewe unamlea mwenyewe unashindindwa kumfanya awe kama anavyotaka sembuse mimi ambaye nimekulia kijijini mwanzo mwisho lami nimeiona naenda a-level... haaa haaaa
 
acha tu shosti? Mimi sasa hv hata maji ya kunywa sinunui loh mjini hapa
 
acha tu shosti? Mimi sasa hv hata maji ya kunywa sinunui loh mjini hapa

Hahhahaa....haya mambo yana-headache ukiitaka hiyo headache..yanafurahisha sana sometimes..
 
hahhahaa....anakwambia " honey nimesahau wallet nyumbani bahati mbaya...hebu nisaidie ku-clear hapa kidogo"
loh namwambia ujue nilivokuja hapa na wewe nilitoroka hme sijachukua chochote kwnye hii pochi
 
loh namwambia ujue nilivokuja hapa na wewe nilitoroka hme sijachukua chochote kwnye hii pochi

Nimekifuta bahati mbaya nikijua nilibonyeza enter hicho kipande....

hahahhahahha...ukimwambia hivyo unakuwa umemnyooosha sio kidogo...
 
nimekifuta bahati mbaya nikijua nilibonyeza enter hicho kipande....

Hahahhahahha...ukimwambia hivyo unakuwa umemnyooosha sio kidogo...
usipoishi kwa ujanja na hawa wanaume utaumia.seriously kuna mkaka alikuwa ananifukuzia siku hiyo nikamwambia njoo sehemu flani ana usafiri tu fresh akasema huko ni mbali mafuta mengi kwanza hapo tu nikamsoma loh yaani nimempa hata fever ya kuonana then analeta ubahili wa mafuta nikajua tu huyu hanipendi.nikampotezea kuna siku akanitumia ujumbe eti ooh naomba laki moja nitakurudishia.yaani nilikosa jibu la kumpa.wanaume wa dot com usipime
 

Marioo
 
ok always upo right but inategemea unanunua kiatu kwa lengo gani, kama ni kuvaa... first priority itakuwa ni size but kama ni cha kumechisha basi utaangalia rangi... sasa ugumu unakuja kukipata cha size unayotaka chenye rangi unayotaka... kwa busara ya kawaida utaangalia size then rangi ukikosa utaaangalia rangi ambayo inaendanaendana rangi ya gauni lako...
HAPO TUSEME MWANAUME NI KIATU NA MWANAMKE NI GAUNI
 

Hiyo ya blue hapo...nimeipenda! Halafu ukichunguza sana hujamzoea kivile kiasi cha kuaminia kwenye suala la pesa.
Huyo nadhani alikuwa anakujaribu tu..hahahha...hakuwa serious sana..
 
Hiyo ya blue hapo...nimeipenda! Halafu ukichunguza sana hujamzoea kivile kiasi cha kuaminia kwenye suala la pesa.
Huyo nadhani alikuwa anakujaribu tu..hahahha...hakuwa serious sana..

Heart.....😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…