Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Kwa niaba ya mai waifu wangu Paloma ninapenda kuwatakia wadau wote wa JF sikukuu njema na yenye furaha kwenu nyote..

Ningependa wakati mkisheherekea na kujumuika pamoja, tupate muda wa kukaa chini na kutafakari kwanini sie tumebahatika kuendelea kuwepo na kuukaribia tena msimu huu wa sikukuu.. Wale waliopata matatizo na kupoteza maisha walifanya kosa gani ambalo liliwasababisha watoweke hapa duniani.. Na sie tumefanya wema gani wa kutusababishia kuendelea kupendelewa hapa.. Na jeee tunavyosheherekea kwa kunywa pombe na kujaza nyumba za wageni ndo njia muafaka ya kushukuru..?
Ni tafakari tu kwa wale wanaoamini..
 
Last edited by a moderator:
Mimi najitakia mwenyewe heri ya sikuku ya christimass na mwaka mpya......

Cc BAK naomba unibuludishe na song moja matata sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu Kaizer
Heri hizo zikurudie na wewe na uwe na msimu mzuri wa sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya weney mafanikio na wenye baraka za Mungu
Kwa akina Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, Mentor, kiwatengu, Mamndenyi, Preta, Lady doctor, sweetlady, snowhite, King'asti, Heaven on Earth, Madame B, Zion Daughter, gfsonwin, AshaDii, sosoliso, mwallu, Mwalu, Paloma, Passion Lady, charminglady, Blaki Womani, Lily Flower, Chocs, amu, Husninyo, Dena Amsi Vin Diesel, Mkirua, TANMO, SIMplicity, stevoh, BAK, Jiwe Linaloishi, , Filipo, Bishanga, Asprin, Dark City, Paw, Invisible, Moderator, Mzee wa Rula, PakaJimmy, Mungi, RUTashubanyuma, Ruttashobolwa, nawatakia kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuingia mwaka mwingine wa 2014

Thank you!

My best wishes to you all my friends!!!!!
 
Thanks Bro
Na wewe pia nakutakia heri na fanaka katika msimu huu wa Sikukuu...
 
Last edited by a moderator:
Thanks Bro
Na wewe pia nakutakia heri na fanaka katika msimu huu wa Sikukuu...

Pamoja sana TANMO Mwenyezi Mungu akutangulie katika msimu huu na akubariki katika kila jambo
 
Last edited by a moderator:

Thank you Kaizer.
Merry X Mass and Happy New Year to you all wana chit chat.
Mungu atuwezeshe tufike salama na kusherehekea kwa salama na amani na 2014 uwe mwaka wa mafanikio kwetu sote.
 
Last edited by a moderator:
Sijui nitupiemo ka-ua au ngoja nijaribu

wana chit chat!
Msimu wa sikukuu ndiyo umefika sasa.

Naamini kila mmoja kwa namna yake ataenjoy na kufurahia sikukuu hizi.

Sasa kwa kupitia huu uzi, naombeni tupeane wishers zetu.

Wenye maua na mivuto mingine ya ujumbe wa kiholidays!
Tupia hapa tufurahie pamoja.
Tupia hapa na salamu zako,
za sikukuu!!

Marry christmass and happy new year 2014..
 
Kaizer sitaki kujua ni kwanini umeninyima salamu. Nakutakia sikukuu njema sana.

haaaa Mamndenyi wewe tena halafu ujue zile sredi za Nyumba ndogo hujanambia ulitaka kuzifanyia nini.. MErry Xmas and Happy New Year!:busu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom