mkesha leo ni kinyumbani au kanisani?
nipe ratiba mapema
hakuna ndoa ya hivi kabisa, kwa tamaduni za kitanzania
Sasa mbona Lady doctor anafunga ndoa ya siri hata Arushaone hana taarifa
ni uongo tu..anamrusha roho The secretary
hahahahahaha...aisee nongyimarisa kapsa mae, Arushaone, kye ambuya necha meku, risika na mbatu ya mko pfo tupu!!
ishikyie kapsa!! Lady doctor nakuambuye necha
Hivi kuna ndoa ya waume wawili kumbe
Sasa mbona Lady doctor anafunga ndoa ya siri hata Arushaone hana taarifa
ni uongo tu..anamrusha roho The secretary
kidooogo na wii wangu Heaven on Earth
Ushindwe shemeji.. dada yangu Heaven on Earth hana saccos wala vkoba eeh..