Kaka angu huyu Lady doctor ana visa na mimi...mi na sacoss wapi wapi
Ushindwe shemeji.. dada yangu Heaven on Earth hana saccos wala vkoba eeh..
hahahaaa..... Wiii bahati yako twafichiana siri!!!!!!
heri ya mwaka mpya 2014...
Ndo nasikia kwako mr keshaniambia hakunaga iyo
hahahaaa nimechekaje hapo.....tafwadhali usinisemee kwa kaka angu
asante sana Wasalimie huko Ujerumani..unakuja lini?
nitajifunza tena kijerumani kupitia wewe shemeji yangu..
nikisema uongo m imi mumeo Arushaone politician atasema uongo mara kumi yake...
Ubarikiwe sana Braza
nikisema uongo m imi mumeo Arushaone politician atasema uongo mara kumi yake...
Amen kiwatengu. Kwa niaba ya familia yangu naomba nawe na mkeo shansarie mbarikiwe sana!
CC: My lovely wife Lady doctor.
Amen kiwatengu. Kwa niaba ya familia yangu naomba nawe na mkeo shansarie mbarikiwe sana!
CC: My lovely wife Lady doctor.