Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!


asante sana shost kwa salam
mm pia nakusalimia,nimekumiss
kwa sana,usipotee hivyo bana!!
 

asante sana shost kwa salam
mm pia nakusalimia,nimekumiss
kwa sana,usipotee hivyo bana!!


Binamu Passion Lady upo aise
Nimekumiss sana sijui umefungiwa wapi huonekani au yule lawyer kaweka kizingiti usikanyage huku
Heri ya sikukuu mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Nimezipokea salamu kwa mikono miwili mpendwa wangu. nami pokea zangu
 
my waai Evelyn Salt asante bana nimekusikia live ukinitumia salam za christmas na mwaka mpya.
 
Last edited by a moderator:

Usithubutu kukutwaaaaaa!!
 

aiseee!!mi nipo zangu bush ni
mwendo wa kishumba na denge tu!!
namsubiria shem wangu Eli79 anaingia leo!!

Shem langu nakuja leo...
Jiandae tupige denge kwa kwenda mbele...
Afu kumbe ndo maana upo hewani kwa ''kudip'' eeeh...
Heri ya Xmass na Mwaka Mpya my shem...
 
Shem langu nakuja leo...
Jiandae tupige denge kwa kwenda mbele...
Afu kumbe ndo maana upo hewani kwa ''kudip'' eeeh...
Heri ya Xmass na Mwaka Mpya my shem...

heri na kwako pia shemeji
utanikuta nakusubiria mwisho wa basi
usisahau kuniletea mkate boflo basi!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…