Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!


Asante sana my dear, afu ujue nina appointment na wewe, hebu ntafute pia ntakupa na umbea wa mtasha...... hahahaaaa!!!!!!!
 
ahsantee!
halafu si umesema waja huku!

huko ndo home my dear, ntake nisitake lazima nitie maguu.. Ngoja nimalize kula bata huku kwa wandali then niangalie ustaarabu wa kuja huko walau nikamsabahi babu.
Mpe hi jirani yako Ladymasa
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mpenzi, mpe hi mumeo Slave
 
Last edited by a moderator:

Asante sana lovely sis..
 
Last edited by a moderator:

Ameeeeen!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
thank u sana umepotea mno happy holiday hujajifungua tu

nipo my dear nimebanwa kimtindo ila naingia kiubishiubishi tu...... ndio kwanza nipo kwenye 2nd trimester mwenzio yaani hadi nimechoka kusubiri
 
Ahsante sana shemeji langu wa ukweli Lady doctor.. Na mie ninakutakia kila la kheri kwa sikukuu hii ya noeli na mwaka mpya.. Ninafurahi sana kwamba wewe na Arushaone mmekuwa ni sehemu ya maisha yangu hapa JF.. Mbarikiwe..

ubarikiwe pia shem langu, pamoja daima!
 
Last edited by a moderator:

Senki yuu vere mache mai Dia Byutiful Onyenye charminglady..
Kila la kheri na kwako pia kwenye huu msimu wa Sikukuu..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…