myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 237
sidhaninimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
Mantik hapa nini ? Excuse me!
Unaweza ukasherehesha zaidi kidogo?

Ha ha ha wewe bana mwenzio amepost harakaharaka hajamaliza story
angeelezea cheo chake,au angepost na jina lake halisi,utashangaa kesho kafukuzwa kazi na boss wake,hajui huku kuna mabosi
Hebu tusubiri bhana amalizie,naona tunapishana tu kwenye majukwaa na threads,Hajamaliza story yake ngoja arudi kwanza ataendelea kutuambia anamaanisha nini Judgment; Excellent na Lady doctor na Dena Amsi (nakumiss wewe)
Hajamaliza story yake ngoja arudi kwanza ataendelea kutuambia anamaanisha nini Judgment; Excellent na Lady doctor na Dena Amsi (nakumiss wewe)
Excellent kabisa mkuu naona tunapishana tuu mzima lakini mkuuHebu tusubiri bhana amalizie,naona tunapishana tu kwenye majukwaa na threads,
Lady doctor kachoka na ana stress kibao ngoja atakuja kumalizia story yakehahahaaa.... Ngoja tusubirie hiyo part2
Hajamaliza story yake ngoja arudi kwanza ataendelea kutuambia anamaanisha nini Judgment; Excellent na Lady doctor na Dena Amsi (nakumiss wewe)
Swahiba nambie! Cha kushangaza mazee muda huu nina cocentrate na 3 issue!
1. Naangalia chnl 10 match ya Simba & Mtibwa.
2. Naangalia Tbc Bunge .
3. Na niko Jf .
Amini usiamini nadeal nayote sanjari !
Ntavunja record na ninadhani itakuwa mara ya kwanza boss kujifukuza kazi katika kazi yake mwenyeweangeelezea cheo chake,au angepost na jina lake halisi,utashangaa kesho kafukuzwa kazi na boss wake,hajui huku kuna mabosi