Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Aug 27, 2024 #121 Mwachiluwi said: Ilo sina uwakika Click to expand... Hahaha! Sawa, ngoja niendelee na majukumu nikirejea nategemea nitakuta namba, nimtwangie shemeji yako
Mwachiluwi said: Ilo sina uwakika Click to expand... Hahaha! Sawa, ngoja niendelee na majukumu nikirejea nategemea nitakuta namba, nimtwangie shemeji yako
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Aug 27, 2024 #122 mzabzab said: Njiro nipo maeneo ya themi suites Click to expand... Ongea nae vizuri jamaa dada yake mzuri sana ana macho ya samaki 😎
mzabzab said: Njiro nipo maeneo ya themi suites Click to expand... Ongea nae vizuri jamaa dada yake mzuri sana ana macho ya samaki 😎
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Aug 27, 2024 #123 Imeisha iy Zulu man said: Hahaha! Sawa, ngoja niendelee na majukumu nikirejea nategemea nitakuta namba, nimtwangie shemeji yako Click to expand... Ooo pumxika hapo
Imeisha iy Zulu man said: Hahaha! Sawa, ngoja niendelee na majukumu nikirejea nategemea nitakuta namba, nimtwangie shemeji yako Click to expand... Ooo pumxika hapo
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 27, 2024 #124 Manyanza said: Tuchati Nyamwi255 🤨 Click to expand... Huu Uzi haunihusu Manyanza Am taken en satisfied 🌝
Manyanza said: Tuchati Nyamwi255 🤨 Click to expand... Huu Uzi haunihusu Manyanza Am taken en satisfied 🌝
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,763 Reaction score 50,194 Aug 27, 2024 #125 ephen_ said: Hapo pa kulipiwa platinum member ndipo napataka Click to expand... Hivi Ile hua ina faida Gani? au Kuna privilege wanazipata
ephen_ said: Hapo pa kulipiwa platinum member ndipo napataka Click to expand... Hivi Ile hua ina faida Gani? au Kuna privilege wanazipata
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,218 Aug 27, 2024 #126 Kapeace said: 😂😂😂kuna watu wakisoma ID yangu wanapata kihindihindi ama hakika kila shetani na mbuyu wake Click to expand... Wenzangu wanaweka masharti ya mchumba wanaemtaka ila sharti langu kwa mchumba naemtaka ni moja tu uwe wewe😋
Kapeace said: 😂😂😂kuna watu wakisoma ID yangu wanapata kihindihindi ama hakika kila shetani na mbuyu wake Click to expand... Wenzangu wanaweka masharti ya mchumba wanaemtaka ila sharti langu kwa mchumba naemtaka ni moja tu uwe wewe😋
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Aug 27, 2024 #127 Mwachiluwi said: Imeisha iy Ooo pumxika hapo Click to expand... Kwakweli sijaelewa
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Aug 27, 2024 #128 Zulu man said: Kwakweli sijaelewa Click to expand... Kuna mbuu hapa wee pumzika boss
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Aug 27, 2024 #129 Lucha said: Wenzangu wanaweka masharti ya mchumba wanaemtaka ila sharti langu kwa mchumba naemtaka ni moja tu uwe wewe😋 Click to expand... Je utawezana? Maana hili ni fupa lililomshinda fisi
Lucha said: Wenzangu wanaweka masharti ya mchumba wanaemtaka ila sharti langu kwa mchumba naemtaka ni moja tu uwe wewe😋 Click to expand... Je utawezana? Maana hili ni fupa lililomshinda fisi
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Aug 27, 2024 #130 Mwachiluwi said: Kuna mbuu hapa wee pumzika boss Click to expand... Mapema hivi? Kazi namuachia nani?
Mwachiluwi said: Kuna mbuu hapa wee pumzika boss Click to expand... Mapema hivi? Kazi namuachia nani?
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Aug 27, 2024 #131 Zulu man said: Mapema hivi? Kazi namuachia nani? Click to expand... Mimi chawa wako nitazifanya
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Aug 27, 2024 #132 Mpaji Mungu said: Hivi Ile hua ina faida Gani? au Kuna privilege wanazipata Click to expand... Faida ipo kubwa sana mkuuu ongea na Cookie kwa msaada zaidi
Mpaji Mungu said: Hivi Ile hua ina faida Gani? au Kuna privilege wanazipata Click to expand... Faida ipo kubwa sana mkuuu ongea na Cookie kwa msaada zaidi
A ALPARSLAN JF-Expert Member Joined Aug 27, 2024 Posts 467 Reaction score 1,192 Aug 27, 2024 #133 Nataka msebule mm
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,763 Reaction score 50,194 Aug 27, 2024 #134 Kapeace said: Basi hayo nayo ni maajabu ya kariakoo Click to expand... Kule Kuna lodge flan wanaitaga ya mama ntilie vyumba vingi kinoma 5k per hour Kuna vitanda vya zege 😂number E zinapigwa miti vbya sana
Kapeace said: Basi hayo nayo ni maajabu ya kariakoo Click to expand... Kule Kuna lodge flan wanaitaga ya mama ntilie vyumba vingi kinoma 5k per hour Kuna vitanda vya zege 😂number E zinapigwa miti vbya sana
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,763 Reaction score 50,194 Aug 27, 2024 #135 Vincenzo Jr said: Faida ipo kubwa sana mkuuu ongea na Cookie kwa msaada zaidi Click to expand... Nidokeze kidogo
Vincenzo Jr said: Faida ipo kubwa sana mkuuu ongea na Cookie kwa msaada zaidi Click to expand... Nidokeze kidogo
ChalaX Nyato Senior Member Joined Aug 24, 2024 Posts 184 Reaction score 291 Aug 27, 2024 #136 Hapa Sina neno. Mimi kama MZEE nakua ndugu mtazamaji tuuuu... naangalia baadhi ya vijana wangu mkiwa mawindoni kupata mnachostahili. Kila lakheri.....
Hapa Sina neno. Mimi kama MZEE nakua ndugu mtazamaji tuuuu... naangalia baadhi ya vijana wangu mkiwa mawindoni kupata mnachostahili. Kila lakheri.....
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Aug 27, 2024 #137 Mpaji Mungu said: Kule Kuna lodge flan wanaitaga ya mama ntilie vyumba vingi kinoma 5k per hour Kuna vitanda vya zege 😂number E zinapigwa miti vbya sana Click to expand... Kutakuwa kuna UTI na wadudu walioshindikana maana kariakoo tu ni chafu sasa na hivyo vyumba vitakuwaje?
Mpaji Mungu said: Kule Kuna lodge flan wanaitaga ya mama ntilie vyumba vingi kinoma 5k per hour Kuna vitanda vya zege 😂number E zinapigwa miti vbya sana Click to expand... Kutakuwa kuna UTI na wadudu walioshindikana maana kariakoo tu ni chafu sasa na hivyo vyumba vitakuwaje?
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Aug 27, 2024 #138 ipyana adams said: Poa.vipi wewe? Click to expand... Lucha umekuja kivingine?
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Aug 27, 2024 #139 Mwachiluwi said: Mimi chawa wako nitazifanya Click to expand... Kijana mimi mpiga debe,utaweza hii kazi?
Mwachiluwi said: Mimi chawa wako nitazifanya Click to expand... Kijana mimi mpiga debe,utaweza hii kazi?
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,111 Aug 27, 2024 #140 Mpaji Mungu said: Hivi Ile hua ina faida Gani? au Kuna privilege wanazipata Click to expand... Jiunge kwa kulipia 100k ndio utaona privilege zake hivi ushawahi kuona premium member anakula Ban?
Mpaji Mungu said: Hivi Ile hua ina faida Gani? au Kuna privilege wanazipata Click to expand... Jiunge kwa kulipia 100k ndio utaona privilege zake hivi ushawahi kuona premium member anakula Ban?