Umri: 34
Kazi: Mmachinga
Mahali: Kwa Mfuga Mbwa
Jinsia; Me
Nataka
Girlπ§
Age:25-31
Elimu asizidi form 4
Rangi: Damu ya mzee
Dini: Sibagui
Kama upo jitokeze chap PM iko wazi
Naitwa vin mbunge ajaye kigamboni umri miaka 37
Mwanamke awe slim sio shangingi na asiwe mjuaji asiwe na safari za kwenda kariakoo mwenyewe Cc ephen_min -me