Mbona watu wapo humu na wanapatana tu... kwamfano shemeji yako yupogo humu, Mimi najuaga ID yake ila yangu haijuagi ila tupo good tu ingawa ananiwinda aijue hii ID πππ

Hee sio mwanamziki? Mbona demu wangu alitaja hili jina nikamuuliza ni nani huyu akasema ni mcheza mziki. How comes anamjua? Mwenye picha yake please na mm nimjue