CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Should i count you in?Karibu
Should i count you in?Karibu
No! thank youShould i count you in?
A no without exclamation mark would be just fine tho😌No! thank you
Imekaa ki hasira au kibabe?A no without exclamation mark would be just fine tho😌
Mimi uduguu na mchanga nalamba ndo ntoleee hiyo sigeuki nyuma tenaah.!! Drama za jf nimefunga rasmi![]()
Ila ww na shogire wa chaka to chaka hamuaminiki kabisaa, hamna dhamana.![]()



kiukweli kwa boss siwezi muacha, ni vile tyuuh yeye ameamua kunikaushiaa, siku akirudisha majeshi nampokea kwa mikono miwili. WoiiiiihNajua, mtu akianza kupenda anaanza kutaka kukushepu lazima
Anahisi tayari ushakuwa mali yake





Nilijua tu na huku mpo nyie watukutu wa JF.kiukweli kwa boss siwezi muacha, ni vile tyuuh yeye ameamua kunikaushiaa, siku akirudisha majeshi nampokea kwa mikono miwili. Woiiiiih
Hivi ni nini kinatokea mpk mnakuwa hivyo?? Mana sio mara moja unajisemesha na comments zangu?
Halafu sijui kwann hii inatokea sana mtu akianza kunionyesha kunipenda anaanza hizi hekaheka?!! Halafu muda huo yy mwenyewe anakoment pumba km wewe Mbaga, naonaga comments zako tena zingine mpk unatukana.!! Ila ww hupendi kuona hivyo kwangu.!!! Ujue mnanishangaza?!!
Bas kuanzia sasa ntayafanyia kazi, ………noted




kumekuchaaa!!!
Yeah! Kenzy katufungulia tuchit chat mpaka basiiHumu hakuna kuharibu mada sio?
Kweli umependa mpare
Hayo maneno umeyaongea kwa sauti ya wivu na mapenzi mazito.!! Haya nitayafanyia kazi ila unipe muda, kuna comments zingine nakosa uvumilivu.!!
NB; Mimi sio mpenzi wako. Nafata ushauri tu.![]()




nimechekaaa had machoziiii.Nilijua tu na huku mpo nyie watukutu wa JF.



dear BL karibuu tusebenzukee hapa.Ndio unajiandaaa kulala sio?Yeah! Kenzy katufungulia tuchit chat mpaka basii
🤣🤣🤣🤣🤣 hilo nalijua pale huruki ndiomana nimetulia tuli.kiukweli kwa boss siwezi muacha, ni vile tyuuh yeye ameamua kunikaushiaa, siku akirudisha majeshi nampokea kwa mikono miwili. Woiiiiih
Jf kuna kulala? Vyumba vipo wapiNdio unajiandaaa kulala sio?
Mbaga anataka kuuponza moyo wake 😂😂😂
😂😂😂 jf yote yetuNilijua tu na huku mpo nyie watukutu wa JF.
Asante ila ndiyo najiandaa kulala. Hamselfiki kule nimemiss kuwaona, warembo wangu.dear BL karibuu tusebenzukee hapa.
Mbaga kaanza kupenda, tumwambie au tumuache? 😂😂😂😂kumekuchaaa!!!