cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Hata sijaelewa, nasubiri kifungo kiishe mweeeehKwanini wamekuzuia Mdogo angu
Ahsante kipenzi





YuukeeiiUkraine au rusia?
Uko poa kaka yangu?Hello..
Nina buy na ku selll... 😀😀😀Hii inafaa kuvizia Kuna angle ikifika uhakika kabisa na ikiamua kukuletea mkate mbona utainjoi swala ni usilewe maana mi nililewa ikanikata mtama..🤣
Unatumia time flame zote..?Nina buy na ku selll... 😀😀😀View attachment 2130670
leo sina kazi so naangalia candel za 30min na 15min then naingia kwemye 5min.. but picha naipata kwenye 4hour kama mzigo unashuka au kupanda.. hiyo AUDCHF nasubiri ifike juu kidogo nitupi lot tembo.. lazima ishukeUnatumia time flame zote..?
NjemaZasaizi 🙋♀️
Haha! Bila Shaka time kubwakubwa ushazichungulia..leo sina kazi so naangalia candel za 30min na 15min then naingia kwemye 5min.. but picha naipata kwenye 4hour kama mzigo unashuka au kupanda.. hiyo AUDCHF nasubiri ifike juu kidogo nitupi lot tembo.. lazima ishuke
lazima uanze na timeframe kubwaaa.. usije sell wakati bar inakuonesha ina buy strong hapo utakalia msumali wa motoHaha! Bila Shaka time kubwakubwa ushazichungulia..