JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Wakili natoa malamiko yangu kwako vijana wamenisingizia hapa nimejisikia vibaya mno
🤣🤣🤣 lete ushahidi ili tukisimama kortini nijue nakutetea vipi? Upande wa Jamhuri wana video, picha na msg..
Na wewe wasilisha wako haraka tuwatoe knockout 😹😹😹😹

Ila leo umekuwa mpole, mpk unalia si mchezo
 
Back
Top Bottom